Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUIMBAJI WA INJILI BAHATI BUKUKU APATA AJALI DODOMA AKIELEKEA KAHAMA KWENYE TAMASHA
















Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bahati Bukuku akiwa kwenye moja ya kazi zake ya uimbaji.
Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bahati Bukuku apata ajali mkoani Dodoma

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku (40) amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongwa na gari aina ya Fuso wilayani Kongwa.

 

11 years ago

GPL

BAHATI BUKUKU APATA AJALI

Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku. Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku amepata ajali ya gari akiwa na dereva wake, Eddy maeneo ya Kongwa Dodoma usiku wa kuamkia leo. Akiongea kwa simu Bahati amesema: “Ni Mungu tu aliyetuokoa, tulikuwa tunaelekea Kahama kwenye huduma ghafla tukagongana uso kwa uso na lori, gari yetu aina ya Toyota Nadia  iliruka na kubiringika kama mara tatu hivi, tumetoka tukiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bahati Bukuku apata ajali ya gari

MWIMBAJI maarufu wa muziki wa Injili nchini, Bahati Bukuku, amepata ajali ya gari akiwa njiani kuelekea Kahama katika tamasha la muziki wa Injili. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa...

 

11 years ago

CloudsFM

JESHI LA POLISI LATOA TAARIFA KUHUSU AJALI MWIMBAJI NYIMBO ZA INJILI, BAHATI BUKUKU

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma David Misime - SACP Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imetokea tarehe...

 

11 years ago

Michuzi

ALEX MSAMA APATA AJALI WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA,HALI YAKE YAENDELEA VIZURI

Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Mwenyekiti wa Bongo Movie(Steve Nyerere) na Single Mtambalike wakiwa pembeni ya Mkurugenzi wa Msama Promotions Limited Bw Alex Msama kwa ajili ya kumpa pole na kumfariji mara baada ya kupata ajali wakati akitokea Dar Es Salaam kuja Dodoma, ajali iliyotokea Ipagala Mwisho Kilometa chache tu kufika Dodoma Mjini.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Bw Alex Msama amepata ajali leo, eneo la Ipagala mwisho wakati...

 

10 years ago

Bongo5

Evance Bukuku wa Vuvuzela aeleza sababu za kumchukua mdogo wake muimbaji Enika kwenye comedy

Enika ni msanii wa kike ambaye nyota yake ilianza kuonekana mwaka 2004 alipotoa wimbo wake wa ‘Baridi Kama Hii’, ambao ulishika chati mbalimbali za muziki Bongo. Enika ambaye jina lake kamili ni Atuganile A Bukuku ni dada wa aliyekuwa producer wa G Records na baadae G2, marehemu Roy Bukuku, pamoja na Evance Bukuku wa Vuvuzela […]

 

10 years ago

Michuzi

MDAU MWAULANGA APATA AJALI WAMI AKIELEKEA MKOANI KILIMANJARO

Gari iliyokuwa ikiendesha na Mdau Mwaulanga kama ionekanavyo pichani mara baada ya kupata ajali juzi eneo la Wami wakati akielekea Moshi mkoani Kilimanjaro.Maulid Kitenge mtangazaji wa E FM 93.7 akimjulia hali mdau Mwamad Maulanga aliyelazwa Moi Muhimbili baada ya kupata ajali eneo la Wami.

 

11 years ago

GPL

BAHATI BUKUKU NUSU KIFO!

Stori: Oscar Ndauka NI kweli ajali haina kinga! Nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Lusako Bukuku ameumia mgongo na maeneo kadhaa ya mwili (nusu kifo) kiasi cha kushindwa kukaa, kusimama wala kutembea kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea kwenye eneo la Ranchi ya Narco wilayani Kongwa, Dodoma saa tisa usiku wa kuamkia Jumamosi, Ijumaa Wikienda lina undani wa mkasa mzima. Nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Lusako...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-7

AKUTANA NA MICHEZO YA ‘KUPIGISHWA SIMU CHOONI’ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: MANENO yake yalinifariji mno, nikajikuta nikimkumbatia, hata baba aliporudi nilimwambia kwamba matokeo hayakuwa mazuri, hakunichapa wala kunigombeza, bali alinitia nguvu kwa kuniambia kwamba maisha yanaendelea hivyo nilitakiwa kujipa nguvu kwa kuona huo haukuwa mwisho wa maisha yangu, safari ilikuwa ikianza upya.
ENDELEA… Hakukuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani