Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALEX MSAMA APATA AJALI WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA,HALI YAKE YAENDELEA VIZURI

Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Mwenyekiti wa Bongo Movie(Steve Nyerere) na Single Mtambalike wakiwa pembeni ya Mkurugenzi wa Msama Promotions Limited Bw Alex Msama kwa ajili ya kumpa pole na kumfariji mara baada ya kupata ajali wakati akitokea Dar Es Salaam kuja Dodoma, ajali iliyotokea Ipagala Mwisho Kilometa chache tu kufika Dodoma Mjini.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Bw Alex Msama amepata ajali leo, eneo la Ipagala mwisho wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALEX MSAMA APATA AJALI

Alex Msama akiwa hospitali baada ya ajali. Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere. Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma. Kwa sasa Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Alex Msama apata ajali, aporwa mil 20/-

MFANYABIASHARA Alex Msama amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari. Msama ambaye ni maarufu kwa kuandaa Tamasha la Pasaka kila mwaka, amepata ajali hiyo jana majira ya saa...

 

10 years ago

Michuzi

MSAFARA WA LOWASSA WASIMAMISHWA DUMILA MKOANI MOROGORO WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kwa umati wa watu wakazi wa Mji wa Dumila, Mkoani Morogoro, waliomsimamisha ili awasalimie wakati alipokuwa safarini kuelekea Mkoano Dodoma, leo Juni 30, 2015. Mh. Lowassa anatarajia kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania, kesho Julai 1, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI.Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU MWAULANGA APATA AJALI WAMI AKIELEKEA MKOANI KILIMANJARO

Gari iliyokuwa ikiendesha na Mdau Mwaulanga kama ionekanavyo pichani mara baada ya kupata ajali juzi eneo la Wami wakati akielekea Moshi mkoani Kilimanjaro.Maulid Kitenge mtangazaji wa E FM 93.7 akimjulia hali mdau Mwamad Maulanga aliyelazwa Moi Muhimbili baada ya kupata ajali eneo la Wami.

 

11 years ago

Michuzi

MUIMBAJI WA INJILI BAHATI BUKUKU APATA AJALI DODOMA AKIELEKEA KAHAMA KWENYE TAMASHA
















Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bahati Bukuku akiwa kwenye moja ya kazi zake ya uimbaji.
Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP...

 

11 years ago

Michuzi

ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI NA MATIBABU

  1Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dares salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwass Bw. Alex Msama anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadaye kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika wodi Kibasila namba 16.  Anaendelea vizuri na matibabu na amesema hali yake imekuwa ikiimarika tofauti na ilivyokuwa Mwanzo, Aliiambia Fullshangwe jana hospitalini hapo kwamba Mungu  ni mwema...

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI‏

Mfanyakazi wa Kampuni ya Dira, Ally Makuburi akimjulia hali Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Bw. Alex Msama ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kulia ni Musa Mkama mwandishi wa gazeti hilo pia. Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es Salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwas, Bw. Alex Msama anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani