ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI NA MATIBABU
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dares salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwass Bw. Alex Msama anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadaye kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika wodi Kibasila namba 16.
Anaendelea vizuri na matibabu na amesema hali yake imekuwa ikiimarika tofauti na ilivyokuwa Mwanzo, Aliiambia Fullshangwe jana hospitalini hapo kwamba Mungu ni mwema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/04/27.jpg)
MKURUGENZI ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI
11 years ago
MichuziALEX MSAMA APATA AJALI WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA,HALI YAKE YAENDELEA VIZURI
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Bw Alex Msama amepata ajali leo, eneo la Ipagala mwisho wakati...
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Bondia Muhammad Ali anaendelea vizuri
10 years ago
Bongo Movies12 May
Kajala Anaendelea Vizuri Baada ya Kupigwa Chupa Usoni
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anaendelea vizuri baada yakupigwa chupa na kijana mmoja usiku ya kuamkia jana wakiwa kwenye show ya mwanamziki Mabeste aliyoiandaa ili kuchangisha pesa kwa ajili ajili ya matibabu ya Mkeo.
Leo kupitia ukurasa wake mtandaoni, kajala ameweka picha hiyo hapo juu na kuandika “Maisha yanaendelea au sio......” kuonyesha kuwa yupo poa na anaendelea na masiha yake yakawida.
Akilezea tukio hilo la kupigwa na chupa hapo jana alipofanya mahojiano na mtangazaji...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj1huPN07vqRclcIpeV23ksyTBxYf2MF9VV4XVcBg3bgcSFQaCQJJXvNLfjk7DCKjdFrw3jwL8D33sENaSzyHw-l/BREAKINGNEWS.gif)
ALEX MSAMA APATA AJALI
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Alex Msama apata ajali, aporwa mil 20/-
MFANYABIASHARA Alex Msama amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari. Msama ambaye ni maarufu kwa kuandaa Tamasha la Pasaka kila mwaka, amepata ajali hiyo jana majira ya saa...
10 years ago
Vijimambo31 Jul
ALEX MSAMA:MAANDALIZI YA UZINDUZI WA ALBAM YA BONNY MWAITEJE YAMEKAMILIKA
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/1106.jpg)