Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kajala Anaendelea Vizuri Baada ya Kupigwa Chupa Usoni

Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anaendelea vizuri baada yakupigwa chupa na kijana mmoja usiku ya kuamkia jana wakiwa kwenye show ya mwanamziki Mabeste aliyoiandaa ili kuchangisha pesa kwa ajili ajili ya matibabu ya Mkeo.

Leo kupitia ukurasa wake mtandaoni, kajala ameweka picha hiyo hapo juu  na kuandika  “Maisha yanaendelea au sio......” kuonyesha kuwa yupo poa na anaendelea na masiha yake yakawida.

Akilezea tukio hilo la kupigwa na chupa hapo jana alipofanya mahojiano na mtangazaji...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAADA YA KUPIGWA CHUPA, KAJALA ASEMA MAISHA YANAENDELEA

Kajala Masanja akiwa na bandeji kichwani baada ya kupigwa chupa. STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja, kupitia akaunti yake ya Instagram hivi punde amesema maisha yanaendelea ikiwa ni siku mbili baada ya kupigwa chupa na mtu asiyemfahamu usiku wa kuamkia Jumatatu akiwa klabu wakati alipokwenda katika shoo ya kumchangia mke wa Mabeste, Maisha Club. Kajala akiwa Maisha Club kabla ya kujeruhiwa kwa chupa.  Kajala alieleza kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI NA MATIBABU

  1Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dares salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwass Bw. Alex Msama anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadaye kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika wodi Kibasila namba 16.  Anaendelea vizuri na matibabu na amesema hali yake imekuwa ikiimarika tofauti na ilivyokuwa Mwanzo, Aliiambia Fullshangwe jana hospitalini hapo kwamba Mungu  ni mwema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bondia Muhammad Ali anaendelea vizuri

Hali ya afya ya gwiji wa zamani wa masumbwi Duniani Muhammad Ali inaendelea vizuri

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI‏

Mfanyakazi wa Kampuni ya Dira, Ally Makuburi akimjulia hali Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Bw. Alex Msama ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kulia ni Musa Mkama mwandishi wa gazeti hilo pia. Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es Salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwas, Bw. Alex Msama anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa...

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea Chadema matatani tukio la kupigwa chupa askari

JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma, Benson Kigaila (Chadema) na wenzake 10 kwa tuhuma za kufanya vurugu na kumpiga askari polisi kwa chupa kichwani.

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji afariki baada ya kupigwa

Mchezaji wa soka raia wa Cameroon amefariki baada ya kupigwa katika kichwa nchini Algeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji afariki baada ya kupigwa kichwa

Mchezaji wa Argentina Franco Nieto ,amefariki baada ya kupigwa kwenye kichwa wakati wa mechi siku ya jumamosi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani