Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
Bongo Movies
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania