BAADA YA KUPIGWA CHUPA, KAJALA ASEMA MAISHA YANAENDELEA
Kajala Masanja akiwa na bandeji kichwani baada ya kupigwa chupa. STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja, kupitia akaunti yake ya Instagram hivi punde amesema maisha yanaendelea ikiwa ni siku mbili baada ya kupigwa chupa na mtu asiyemfahamu usiku wa kuamkia Jumatatu akiwa klabu wakati alipokwenda katika shoo ya kumchangia mke wa Mabeste, Maisha Club. Kajala akiwa Maisha Club kabla ya kujeruhiwa kwa chupa. Kajala alieleza kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 May
Kajala Anaendelea Vizuri Baada ya Kupigwa Chupa Usoni
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anaendelea vizuri baada yakupigwa chupa na kijana mmoja usiku ya kuamkia jana wakiwa kwenye show ya mwanamziki Mabeste aliyoiandaa ili kuchangisha pesa kwa ajili ajili ya matibabu ya Mkeo.
Leo kupitia ukurasa wake mtandaoni, kajala ameweka picha hiyo hapo juu na kuandika “Maisha yanaendelea au sio......” kuonyesha kuwa yupo poa na anaendelea na masiha yake yakawida.
Akilezea tukio hilo la kupigwa na chupa hapo jana alipofanya mahojiano na mtangazaji...
9 years ago
Bongo517 Nov
Picha: Ronda Rousey asema ‘nitarejea’, ni baada ya kupigwa kwa KO ya aibu na Holly Holm

Bondia Ronda Rousey amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kushindwa kwa knock-out Jumapili ya jana na Holly Holm.
Teke la Holly Holm lililomdondosha Ronda Rousey chini
Rousey alishindwa vibaya baada ya kuangushwa kwa teke kali la Holm kwenye raundi ya pili ya mchezo huo wa UFC uliovunja rekodi kwa kushuhudiwa na 56,214 huko Melbourne, Australia.
Hilo ni pambano la kwanza kwa bondia huyo kushindwa.
Baada ya pambano hilo bondia huyo alipelekwa kwenye hospitali ya mjini humo na kushindwa...
10 years ago
Habarileo27 Sep
Mgombea Chadema matatani tukio la kupigwa chupa askari
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma, Benson Kigaila (Chadema) na wenzake 10 kwa tuhuma za kufanya vurugu na kumpiga askari polisi kwa chupa kichwani.
11 years ago
GPL
KIJANA AJICHOMA CHUPA, KISA... MAISHA MAGUMU
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
CloudsFM28 Jan
PAMOJA NA KUPIGWA VIBAO HADHARANI,HUH ASEMA HAMUACHI SHILOLE NG'O!
Hivi karibuni kwenye tamasha lililofanyika kwenye viwanja wa Leaders,Kinondoni jijini Dar,msanii wa Bongo Fleva,Shilole alimzaba vibao mpenzi wake,Nuh Mziwanda hadharani hali iliyozua tafrani hadi baadhi ya wasanii kuingilia kati.
Habari zinasema pamoja na kuamuliwa asimpige mpenzi wake lakini bado Shilole alikuwa mkali baadaye msanii mwenzake,Steve Nyerere aliweza kumtuliza Shilole.
Kupitia mtandao wa Instagram msanii Nuh Mziwanda alidhihirisha kuwa hawezi kumuacha mpenzi wake huyo pamoja na...
11 years ago
Bongo514 Jul
Ray C asema alivamiwa na kupigwa na Chid Benz ‘itakuwa amechanyikiwa na madawa’
10 years ago
GPLKAJALA: NIACHENI NA MAISHA YANGU
11 years ago
BBCSwahili24 Aug
Mchezaji afariki baada ya kupigwa