Ray C asema alivamiwa na kupigwa na Chid Benz ‘itakuwa amechanyikiwa na madawa’
Msanii wa muziki na mmiliki wa Ray foundation, Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kusema kuwa alhamisi (july 10) alivamiwa na kupigwa na msanii Chid Benz. Akizungumza na bongo5 leo ,Ray C amesema kuwa Chid Benz anatafutwa na polisi baada ya kufanya tukio hilo. “kweli alinivamia alhamisi usiku, amenipiga mimi na amefanya uharibifu wa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
CHID BENZ AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AIRPORT
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz'. MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroine na bangi akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Akizungumza Kamanda wa Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP, Alfred Nzowa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa msanii...
10 years ago
GPL
CHID BENZ SUALA LA MADAWA YA KULEVYA NI AIBU KWAKO!
KWAKO rapa uliyeibeba Ilala kwa sauti yenye mamlaka tangu miaka hiyo hadi leo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’.Bila shaka uko poa japo najua kwa sasa upo kwenye mikono ya sheria baada ya kudakwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere hivi karibuni ukidaiwa kukutwa na kete 14 za madawa ya kulevya. Nimekukumbuka leo kwenye safu hii ya Barua Nzito maana naona jinsi dhahabu inavyopotea kwenye mchanga huku maelfu ya...
11 years ago
GPL
CHID BENZ AMPIGA RAY C
Na Musa Mateja
Uonevu! Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa mwenzake, Rehema Chalamila ‘Ray C’ nyumbani kwake anapoishi na kumtwanga makonde ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo apate msala mwigine wa aina hiyo. Rapa mwenye ‘swagger’ za...
10 years ago
GPLCHID BENZ: ATOZWA FAINI, AAHIDI KUACHA MADAWA YA KULEVYA
Chid Benz (mwenye shati jeupe) baada ya kuachiwa na mahakama. …Akiondoka mahakamani.
…Akielekea kwenye gari…
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Chid Benz akiri kukutwa na madawa ya kulevya mahakamani,asubiri hukumu
Chid Benz alikiri hivyo juzi Jumatano mbele ya Hakimu Mkazi, Waliarwande Lema baada ya kuomba asomewe tena mashtaka yake. Aliomba hivyo muda mfupi baada ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo na Wakili wa Serikali, Diana Lukendo aliyesema upelelezi haujakamilika...
10 years ago
GPLHATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA KATIKA KESI YA MADAWA YA KULEVYA
Chid Benzi akitoka lango la mahakama ya Kisutu. ...Akifungua mlango wa gari lililokuwa likimsubiri. MSANII wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Benz’amepata dhamana mapema hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana kurudishwa rumande alipokuwa… ...
11 years ago
GPL
RAY C: CHID BENZ ATAOZEA JELA
Stori: Musa Mateja
NYOTA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye hivi karibuni aliripotiwa kupokea kipigo cha maana kutoka kwa msanii mwenzake, Rashid Makwilo almaarufu Chid Benz, ameibuka na kudai kuwa atahakikisha rapa huyo anaozea jela kwa kitendo hicho alichomfanyia. Nyota wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’. Akizungumza na gazeti hili, Ray C alisema amejikuta akipatwa na dhamira...
10 years ago
Vijimambo
ALICHOKISEMA RAY C KUHUSU KUKAMATWA KWA CHIDI BENZ NA MADAWA YA KULEVYA

kutafuta suluhu,nimejaribu kila njia kukushauri badala yake ukaja na rungu la kimasai na kunitandika nalo nyumbani kwangu!nadhani janga hili lililokukuta litakuwa Kama jibu kwako kwamba
unakoenda si salama kabisa kaka yangu ni bora ubadilishe njia...
10 years ago
Bongo527 Oct
Nzowa asema dawa za kulevya alizokamatwa nazo Chid Benz ni Heroine
Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa amesema dawa za kulevya alizokamatwa nazo rapper Rashidi Abdallah Makwiro a.k.a Chidi Benz katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Ijumaa iliyopita (Oct. 24) ni aina ya Heroine. “Alikuwa na dawa Heroine kete 14″, amethibitisha Nzowa kupitia 255 ya […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-March-2025 in Tanzania