HATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA KATIKA KESI YA MADAWA YA KULEVYA
Chid Benzi akitoka lango la mahakama ya Kisutu. ...Akifungua mlango wa gari lililokuwa likimsubiri. MSANII wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Benz’amepata dhamana mapema hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana kurudishwa rumande alipokuwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM29 Oct
HATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA
Hatimaye msanii wa Bongo Fleva,Rashid Makwiro 'Chid Benz' leo asubuhi amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya.
Msanii huyo, jana alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 pamoja na wadhamini wawili wasiokuwana hatia.
Kesi yake itasikilizwa tena Novemba 11 mwaka huu.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-A9uJIbBx6uY/VE-OUmDkYoI/AAAAAAAGtz4/uGipieSRuz8/s72-c/Chid%2BBeenz_full.jpg)
CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR LEO KWA SHITAKA LA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA,AKOSA DHAMANA, KESI YAKE KUTAJWA TENA NOVEMBA 11
![](http://3.bp.blogspot.com/-A9uJIbBx6uY/VE-OUmDkYoI/AAAAAAAGtz4/uGipieSRuz8/s1600/Chid%2BBeenz_full.jpg)
Chid Benz amefikishwa mapema leo saa 3:00 asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusomewa mashitaka yake. Saa 7:50 mchana alifikishwa mbele ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
CHID BENZ APATA DHAMANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
CHID BENZ AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AIRPORT
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ga2iaGVWnSHHhOugtisG7qsNl*fNuR3U7u495ljGfbSUaVK3WiUqMUS-qx2udh-CDQUH6*Vj3lMQB4Z0ZtZsOHxEA4y7*yVY/erick.jpg)
CHID BENZ SUALA LA MADAWA YA KULEVYA NI AIBU KWAKO!
10 years ago
GPLCHID BENZ: ATOZWA FAINI, AAHIDI KUACHA MADAWA YA KULEVYA
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Chid Benz akiri kukutwa na madawa ya kulevya mahakamani,asubiri hukumu
Chid Benz alikiri hivyo juzi Jumatano mbele ya Hakimu Mkazi, Waliarwande Lema baada ya kuomba asomewe tena mashtaka yake. Aliomba hivyo muda mfupi baada ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo na Wakili wa Serikali, Diana Lukendo aliyesema upelelezi haujakamilika...
10 years ago
MichuziCHID BENZ APATA DHAMANA BAADA YA KULALA GEREZANI SIKU MOJA
Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii
Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemwachia kwa dhamana Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (bongo fleva), Rashidi Makwaro (29), maarufa kama Chid Benz, baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya mahakaman hiyo.
Chid Benz, alifikishwa mahakamani hapo jana akikabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Hakimu...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Chid Benz atoka kwa dhamana