Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIJANA AJICHOMA CHUPA, KISA... MAISHA MAGUMU

Na Makongoro Oging’
NI kweli ugumu wa maisha unaweza kumfanya mtu achanganyikiwe na kutamani kujiua ili aondokane na maisha ya duniani?! Fuatilia mkasa wa kijana huyu, Anord au baba Anjela, mkazi wa Tandika jijini Dar es Salaam ambaye wiki iliyopita aliwashangaza watu waliokuwa katika baa moja iliyopo Davis Corner jijini Dar baada ya kununua bia na kujipiga nayo kichwani, si kwa kufurahisha watu bali kutaka kujiua. Tukio...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAADA YA KUPIGWA CHUPA, KAJALA ASEMA MAISHA YANAENDELEA

Kajala Masanja akiwa na bandeji kichwani baada ya kupigwa chupa. STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja, kupitia akaunti yake ya Instagram hivi punde amesema maisha yanaendelea ikiwa ni siku mbili baada ya kupigwa chupa na mtu asiyemfahamu usiku wa kuamkia Jumatatu akiwa klabu wakati alipokwenda katika shoo ya kumchangia mke wa Mabeste, Maisha Club. Kajala akiwa Maisha Club kabla ya kujeruhiwa kwa chupa.  Kajala alieleza kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga walalamika maisha magumu

Wazazi na walezi mjini Tanga wamelalamikia hali ngumu ya maisha pamoja na kupanda kwa gharama za vifaa vya wanafunzi shuleni na hivyo, kuitaka Serikali kuwapunguzia kodi wafanyabiashara ili kuweza kumudu gharama za maisha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbezi kwa Msuguri maisha ni magumu kuliko kijijini

UMUHIMU wa barabara na njia za kupita katika sehemu yoyote anayoishi binadamu ndiyo msingi wa maendeleo yake yeye binafsi na viumbe vyote hai vinavyomzunguka. Hata mimea kama hakuna barabara ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fawopa-Tanzania: Tuwajali watoto wenye maisha magumu

UMASKINI uliokithiri nchini hasa katika ngazi ya familia ndio chanzo cha kuwepo watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi. Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika zinazokabiliwa na wimbi kubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Aishi maisha magumu na wanaye, vitu vyote vyauzwa

Maisha ya familia ya Lilian Daniel Nyihocha (36) mkazi wa kitongoji cha Kazi, Kijiji cha Rwamchanga Kata ya Manchira Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, yalibadilika kutoka familia ya watu wenye uwezo kuwa ombaomba.

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA ANUSURIKA KUUAWA KISA WIZI MAMA AINGILIA KATI KUMUOKOA KIFO



Kijana mmoja mkazi wa Kigogo Sukita jijini Dar es Salam ameambulia kipigo kizito kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kufikia hatua ya kutaka kumchoma moto kutokana na kitendo cha kumuibia simu na shilingi elfu therasini mwanadada ambaye naye ni mkazi wa eneo hilo.
Kutokana na kipondo cha aina yake alichokuwa akipewa na wananchi hao wenye hasira kali walionekana kumpania kutokana na vitendo vyake vya wizi wa mara kwa mara na kutokana na kipigi hicho kilichomfanya atapakae damu mwilimzima,...

 

10 years ago

Mwananchi

Maisha bora ni yale unayopanga ungali kijana

Kitabu kimoja kilichoandikwa zaidi ya miaka 1,000 iliyopita kinasema kwamba mtu hujifunza uvumilivu kipindi cha ujana, hakuna uvumilivu kwenye uzee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani