Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanga walalamika maisha magumu

Wazazi na walezi mjini Tanga wamelalamikia hali ngumu ya maisha pamoja na kupanda kwa gharama za vifaa vya wanafunzi shuleni na hivyo, kuitaka Serikali kuwapunguzia kodi wafanyabiashara ili kuweza kumudu gharama za maisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KIJANA AJICHOMA CHUPA, KISA... MAISHA MAGUMU

Na Makongoro Oging’
NI kweli ugumu wa maisha unaweza kumfanya mtu achanganyikiwe na kutamani kujiua ili aondokane na maisha ya duniani?! Fuatilia mkasa wa kijana huyu, Anord au baba Anjela, mkazi wa Tandika jijini Dar es Salaam ambaye wiki iliyopita aliwashangaza watu waliokuwa katika baa moja iliyopo Davis Corner jijini Dar baada ya kununua bia na kujipiga nayo kichwani, si kwa kufurahisha watu bali kutaka kujiua. Tukio...

 

10 years ago

Mwananchi

Aishi maisha magumu na wanaye, vitu vyote vyauzwa

Maisha ya familia ya Lilian Daniel Nyihocha (36) mkazi wa kitongoji cha Kazi, Kijiji cha Rwamchanga Kata ya Manchira Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, yalibadilika kutoka familia ya watu wenye uwezo kuwa ombaomba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbezi kwa Msuguri maisha ni magumu kuliko kijijini

UMUHIMU wa barabara na njia za kupita katika sehemu yoyote anayoishi binadamu ndiyo msingi wa maendeleo yake yeye binafsi na viumbe vyote hai vinavyomzunguka. Hata mimea kama hakuna barabara ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fawopa-Tanzania: Tuwajali watoto wenye maisha magumu

UMASKINI uliokithiri nchini hasa katika ngazi ya familia ndio chanzo cha kuwepo watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi. Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika zinazokabiliwa na wimbi kubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

KHAJI KHAJI: Vijana tujiajiri maisha magumu

<p>&ldquo;HAYA maisha ukiyafikiria sana unaweza ukapatwa na kichaa kwa sababu vitu vimepanda bei… ukitaka kuwa mfanyabiashara lazima uwe na mtaji wa kutosha.&rdquo;</p> <p> Hayo ni maelezo ya Khaji Muhidini Khaji...

 

11 years ago

GPL

MAISHA YA 'GETO' CHANGAMOTO KWA WANAFUNZI SEKONDARI ZA KATA TANGA

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Komnyang'anyo wilaya ya Handeni wakitembea barabarani kuelekea kwenye makazi yao vijiji mbalim. UJENZI wa Sekondari za Kata katika mikoa mbalimbali umesogeza huduma za elimu kwa baadhi ya maeneo. Ipo mikoa ambayo awali ilikuwa na shule chache za sekondari hali ambayo ilifanya wanafunzi wachache kupata fursa ya kujiunga na sekondari.… ...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: MABASI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO LEO MAENEO YA MKATA MKOANI TANGA, WATU ZAIDI YA 10 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA

 Basi la Ngorika likiwa halitamaniki baada ya kugongana uso kwa uso la basi lingine la Kampuni ya RATCO katika ajali iliyotokea mapema leo kwenye eneo la Kijiji cha Mbweni, Mkata mkoani Tanga. kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio,inadaiwa kwamba mpaka sasa ni Watu kumi wamepoteza maisha katika ajali hiyo, akiwepo Dereva wa Basi la Ratco.Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa. Globu ya Jamii inafanya jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa maelezo zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani