Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fawopa-Tanzania: Tuwajali watoto wenye maisha magumu

UMASKINI uliokithiri nchini hasa katika ngazi ya familia ndio chanzo cha kuwepo watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi. Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika zinazokabiliwa na wimbi kubwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WITO WATOLEWA KWA WATANZANIA KUJITOLEA KUWASAIDIA WATU WENYE UHITAJI IKIWEMO WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU


Baadhi ya wanalyalamo wakijumuika na watoto wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund..
baadhi ya wanalyamo family katika picha ya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa kituo hicho, Winfrida Lubanza(mwenye miwani na blauzi nyeusi)

WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali usaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali. Wito huo umetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chanika, jijini Dar es Salam,...

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya 50% ya maisha ya watoto wenye ugonjwa Saratani  yaokolewa

Katika kipindi cha miaka mitano, tangu Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya waanzishe kitengo cha ugonjwa wa Saratani kwa watoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zaidi ya asilimia 50 ya maisha ya watoto wenye ugonjwa huo yameokolewa.

Awali katika wodi ya watoto wenye tatizo hilo kwenye taasisi ya Saratani ya Ocean Road ni asilimia 10 tu ya watoto hao walioweza kuokolewa maisha.

Umasikini na  uelewa mdogo katika ugonjwa  Saratani  ni miongoni mwa sababu zinazochangia ongezeko la...

 

11 years ago

Michuzi

TWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Bi. Margaret Chacha akizungumza na kikundi cha kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo na mgongo wazi kituo cha kigamboni(Chawawaki), wakati ya mafunzo ya ujasiriamali na kuwaelimisha juu ya fursa zinazotolewa na benki ya TWB, Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Tanzania Women Of Achievement(TWA)  Mwenyekiti wa Tanzania Women Of Achievement(TWA) Bi.Sadaka Gandi akizungumza na kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

MO Dewji Foundation yatoa msaada wa Mil. 110/- kwa Taasisi inayowasaidia watoto wenye kansa ya Tumaini la Maisha

IMG_8716

Meneja Mwendeshaji wa Taasisi ya MO Dewji, Francesca Tettamanzi (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa uongozi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha inayohudumia watoto wenye kansa nchini na waandishi wa habari katika hafla  fupi ya kukabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya watoto wenye kansa iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za MeTL Group jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mmoja wa Wakurugenzi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha, Gerard Mongera  na Wa pili kushoto ni Ofisa anayesimamia...

 

11 years ago

Michuzi

NITETEE FOUNDATION YAZINDULIWA RASMI JIJINI MWANZA KUTETEA WANAWAKE NA WATOTO WANAOSHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU TANZANIA.

Nguvu imeongezeka katika jitihada za kusaidia jamii ya wanaoishi mazingira magumu hapa nchini baada ya kuzinduliwa taasisi inayojishughulisha na kutoa misaada ya kibinaadamu kwa wanawake na watoto walio kwenye mahitaji makubwa hasa jamii ya vijijini na nje ya miji, inayojulikana kama NITETEE FOUNDATION toka jijini Mwanza.   Shirika hilo la maendeleo kwa ajili ya wanawake na watoto nchini Tanzania lilizinduliwa usiku wa Jumapili na mgeni rasmi ambae alikuwa ni mke wa Naibu Waziri wa Uchukuzi...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga walalamika maisha magumu

Wazazi na walezi mjini Tanga wamelalamikia hali ngumu ya maisha pamoja na kupanda kwa gharama za vifaa vya wanafunzi shuleni na hivyo, kuitaka Serikali kuwapunguzia kodi wafanyabiashara ili kuweza kumudu gharama za maisha.

 

10 years ago

Michuzi

SOS CHILDREN TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MONTAGE LTD YAANDAA KAMPENI YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU

 Mkurugenzi Mtendaji wa SOS Children Tanzania, Anatory Rugaikamu (katikati) akiongea na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Serena wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kuchangisha Pesa kwaajili ya Kuwasaidia Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, Kampeni hiyo inafanywa na SOS Children kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage Ltd.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage Ltd, Bi Teddy Mapunda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani