Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maisha bora ni yale unayopanga ungali kijana

Kitabu kimoja kilichoandikwa zaidi ya miaka 1,000 iliyopita kinasema kwamba mtu hujifunza uvumilivu kipindi cha ujana, hakuna uvumilivu kwenye uzee.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

YALE YALE: WAZIRI MAGUFULI ANAPOTAFUTWA UBAYA....

Semi-Trela likiwa limebeba kontena likiwa limeanguka baada ya kulielemea  kwa uzito na kulivunja daraja la chuma katika barabara ya Banana-Kinyerezi maeneo ya Tabata jijini Dar es salaam jana jioni. Haikuweza kufahamika mara moja lilikuwa limebeba mzigo gani na kama dereva alikuwa anajua daraja hilo ni kwa magari yenye uzito wa wastani  wa tani 7 tu au ni kiburi tu.  Hakika Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli ...

 

11 years ago

Mwananchi

Stars yale yale, Zanzibar wafanya fujo

Nairobi.Ndoto ya Kilimanjaro Stars kumaliza katika nafasi ya tatu iliyayuka baada ya kufungwa kwa penalti 6-5 na Zambia, huku wachezaji wa Zanzibar wakifanya fujo kambini.

 

11 years ago

GPL

KIJANA AJICHOMA CHUPA, KISA... MAISHA MAGUMU

Na Makongoro Oging’
NI kweli ugumu wa maisha unaweza kumfanya mtu achanganyikiwe na kutamani kujiua ili aondokane na maisha ya duniani?! Fuatilia mkasa wa kijana huyu, Anord au baba Anjela, mkazi wa Tandika jijini Dar es Salaam ambaye wiki iliyopita aliwashangaza watu waliokuwa katika baa moja iliyopo Davis Corner jijini Dar baada ya kununua bia na kujipiga nayo kichwani, si kwa kufurahisha watu bali kutaka kujiua. Tukio...

 

10 years ago

Mtanzania

Makamba atangazwa mwanasiasa bora kijana

makambaNa Elias Msuya, Dar es Salaam
NAIBU Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, Januari Makamba ametajwa kuwa mwanasiasa bora kijana na taasisi ya Tanzania Awards International, jijini Dar es Salaam juzi.
Makamba ameshika nafasi hiyo akiwapita wanasiasa wengine vijana ambao ni pamoja na Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Wabunge Vick Kamata,...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YABADILISHA MAISHA YA KIJANA MFUGA KUKU.


Afisa Uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki (kushoto) na Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (katikati) wakipima uzito wa kuku wa kienyeji wanaofugwa kisasa na kijana Mohamed Kigumi (kulia), anayeishi Kiluvyia jijini Dar Es Salaam baada baada ya kutembelewa nyumbani kwao na kuona maendeleo aliyoyapata baada ya kuwezeshwa na Airtel kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’ miezi sita iliyopita.Afisa Uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki (kulia) na Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani