Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba atangazwa mwanasiasa bora kijana

makambaNa Elias Msuya, Dar es Salaam
NAIBU Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, Januari Makamba ametajwa kuwa mwanasiasa bora kijana na taasisi ya Tanzania Awards International, jijini Dar es Salaam juzi.
Makamba ameshika nafasi hiyo akiwapita wanasiasa wengine vijana ambao ni pamoja na Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Wabunge Vick Kamata,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kigwangalla, mwanasiasa aliyepikwa na mwanasiasa

Kwa kipindi cha miaka mitano, jina la Dk Hamis Kigwangalla limekuwa likivuma katika medani za siasa nchini, hasa baada ya mwaka 2010 kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Nzega.

 

10 years ago

Vijimambo

Sentensi 2 Chungu Za Makamba Baada Ya Kutoswa 5 Bora


Nawashukuru wote mliotuunga mkono. Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia kujitazama na kujirekebisha.Hatujapoteza uchaguzi kwasababu mimi na vijana niliokuwa tumejifunza mengi na tumejenga undugu. Tumepambana na matakwa ya Mungu yametimia.

 

10 years ago

Mwananchi

Maisha bora ni yale unayopanga ungali kijana

Kitabu kimoja kilichoandikwa zaidi ya miaka 1,000 iliyopita kinasema kwamba mtu hujifunza uvumilivu kipindi cha ujana, hakuna uvumilivu kwenye uzee.

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA ASUBIHI HII: TANO BORA YA WAGOMBEA URAIS WA CCM NI MEMBE, MAGUFULI, MIGIRO,MAKAMBA NA BALOZI AMINA SALUM

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari asubuhi hii nje ya Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, akithibitisha taarifa iliyokuwa ikizagaa mitandaoni ya Wagombea Urais walioingia katika hatua ya tano bora, ambao aliwataja kuwa ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Mh. Bernard Membe, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh....

 

9 years ago

Habarileo

Zungu atangazwa Mbunge Ilala

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Ilala kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Azzan Zungu, ametetea kiti chake cha ubunge baada ya kutangazwa mshindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mshindi atangazwa kabla ya uchaguzi

Ama kweli haya maajabu! Wapigakura wa Mtaa wa Ibungilo B, Kata ya Ibungilo wilayani Ilemela jana walipigwa na butwaa baada kufika katika kituo cha kupigia kura na kukuta mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Serikali za Mitaa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ameshatangazwa mshindi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Alpha Conde atangazwa rais wa Guinea

Tume ya uchaguzi ya Guinea, imetangaza rais Alpha Conde mshindi wa asilimia 58 ya kura na hivyo hakutakuwa na raundi ya pili

 

9 years ago

Bongo5

Dkt John Magufuli atangazwa rais Mteule wa Tanzania

Baada ya mvutano mzito wa kampeni na kisha kufanyika uchaguzi wa rais wenye upinzani mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania, tume ya taifa ya uchaguzi, NEC Alhamis hii imemtangaza mgombea wa CCM, Dokta John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa nafasi ya urais. Rais anayeondoka madarakani, Jakaya Kikwete akimpongeza Dokta John Magufuli mara baada […]

 

9 years ago

Vijimambo

WILFRED LWAKATARE (CHADEMA) ATANGAZWA KUWA MBUNGE WA BUKOBA MJINI

Hatimaye Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema Bw. Wilfred Muganyizi Lwakatare ameibuka kidedea na kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki. Matokeo hayo yalitangazwa usiku na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini Bw. Aron T. Kagurumjuli. Kura za Udiwani Chadema/ Ukawa imeshinda Kata zifuatazo: Kahororo, Kagondo, Kibeta, Kitendaguro, Nshambya, Hamugebe, Kashai, Bakoba na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani