Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshindi atangazwa kabla ya uchaguzi

Ama kweli haya maajabu! Wapigakura wa Mtaa wa Ibungilo B, Kata ya Ibungilo wilayani Ilemela jana walipigwa na butwaa baada kufika katika kituo cha kupigia kura na kukuta mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Serikali za Mitaa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ameshatangazwa mshindi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgombea CCM atangazwa mshindi kabla ya kura, Chadema wagoma, vurugu zazuka

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi wa Mtaa wa Ibungilo B, Kata ya Ibungilo, Wilaya ya Ilemela mkoani hapa, wamekumbwa na hali ya sintofahamu wakati wakijianda kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo, baada mgombea wa nafasi hiyo kupitia CCM kutangazwa mshindi kabla ya wao kupiga kura.

 

9 years ago

Vijimambo

ESTER MATIKO (CHADEMA) ATANGAZWA RASMI KUWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE TARIME MJINI

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime Mjini, Bw. Mwanjombe amemtajngaza rasmi Ester Matiko (Chadema) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo. Matiko amekuwa mbunge wa kwanza kutangazwa rasmi huku akiweka histori kubwa katika wilaya ya Tarime mjini kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mbunge katika wilaya hiyo inayosadikika kuwa na historia ya mfumo dume hususan katika ngazi ya familia. Bi. Matiku  amepata kura 20,017 na kumshinda mpinzani wake wa karibu Kembaki Michael Mwita wa...

 

9 years ago

Mwananchi

UN: Tafiti za uchaguzi hazijaamua mshindi

Zikiwa zimebaki siku 17 kabla ya Uchaguzi Mkuu kufanyika nchini huku kampeni zikiendelea kupamba moto, Umoja wa Mataifa (UN) umesema tafiti zilizofanywa juu ya mbio za urais hazitoshi kutoa picha halisi ya atakayeibuka mshindi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Milipuko Bujumbura kabla ya Uchaguzi

Kumetokea ufyatulianaji wa risasi na milipuko usiku kucha nchini Burundi, usiku wa kuamkia uchaguzi wa rais uliozua utata.

 

10 years ago

BBCSwahili

2 wauawa siku 1 kabla ya uchaguzi Burundi

Watu 2 wameuawa Burundi katika mashambulizi ya gruneti na risasi katika ngome za upinzani katika mji wa Bujumbura siku moja kabla ya uchaguzi

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji ukamilike kabla ya Uchaguzi Mkuu

Serikali hii inashangaza. Mwishoni mwa mwaka jana ilipotangaza kwamba Aprili 30 mwaka huu itakuwa siku ya kupiga Kura ya Maoni kwa Katiba Inayopendekezwa iliona mbali sana.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa yadai mambo manne kabla ya Uchaguzi

>Uamuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuahirisha Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa umewafungulia viongozi wa Ukawa kuishinikiza Serikali kuiboresha Katiba ya sasa katika maeneo manne ili kuondoa mvutano katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda atamani kura kabla ya Uchaguzi Mkuu

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema ana shauku kuona Katiba Inayopendekezwa, inapigiwa kura na Watanzania na kuwa Katiba kabla hata ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, kwa kuwa ikiachiwa kuna watu wanaweza kuleta vurugu.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA PROF MWESIGA BAREGU KABLA YA UCHAGUZI MKUU

Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kwa kupitia chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA wamewashukuru watanzania kwa kuwaunga mkono katika kampeni zao za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo za Urais,Ubunge na Udiwani kote nchi nzima na kusema kuwa wamefanya kampeni za kistarabu na zisizo na matusi wala fujo kama walivyoahidi wakati wanaanza. Akiangumza na wanahabari mapema leo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani