Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uandikishaji ukamilike kabla ya Uchaguzi Mkuu

Serikali hii inashangaza. Mwishoni mwa mwaka jana ilipotangaza kwamba Aprili 30 mwaka huu itakuwa siku ya kupiga Kura ya Maoni kwa Katiba Inayopendekezwa iliona mbali sana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Pinda atamani kura kabla ya Uchaguzi Mkuu

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema ana shauku kuona Katiba Inayopendekezwa, inapigiwa kura na Watanzania na kuwa Katiba kabla hata ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, kwa kuwa ikiachiwa kuna watu wanaweza kuleta vurugu.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA PROF MWESIGA BAREGU KABLA YA UCHAGUZI MKUU

Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kwa kupitia chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA wamewashukuru watanzania kwa kuwaunga mkono katika kampeni zao za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo za Urais,Ubunge na Udiwani kote nchi nzima na kusema kuwa wamefanya kampeni za kistarabu na zisizo na matusi wala fujo kama walivyoahidi wakati wanaanza. Akiangumza na wanahabari mapema leo

 

9 years ago

Michuzi

CCM YAANZA NA MTAJI WA UBUNGE KABLA YA UCHAGUZI MKUU

Ijumaa ikiwa ndio  ni siku ya Mwisho kuchukua na Kurejesha Fomu za Urais,Ubunge na Udiwani Katika Majimbo Yote ya Uchaguzi Nchini,Chama Cha Mapinduzi Kimeanza Vema Harakati Hizo baada ya Aliekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Abdallah Dadi Chikota (pichani) kupita bila kupingwa kuwa Mbunge wa Jimbo jipya la Nanyamba,Mkoani Mtwara
Hatua hiyo Imetokea baada ya wagombea wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Na aliekuwa Mgombea wa Chama cha Wananchi CUF Kutojitokeza Kurudisha Fomu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katiba mpya ikamilike kabla ya Uchaguzi Mkuu — Mizengo Pinda

pinda+maswali

Na Mwandishi wetu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani) amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Akizungumza Bungeni baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kutoa shukrani, Pinda alipendekeza kura ya maoni ipigwe sambamba na Rais ili kiongozi ajaye afanye kazi ya kutekeleza matakwa ya Katiba hiyo.

Alisema rais ajaye anaweza kuwa na ajenda zake, hivyo ni muhimu kumaliza kazi yote na...

 

10 years ago

Michuzi

MTANDAO WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU WAHAMASISHA AMANI KABLA YA UCHAGUZI MKUU


Waandishi wa habari hapa Nchini wametakiwa kuwaelimisha jamii juu ya umuhimu wa amani katika nchi ya Tanzania tunapoelekea uchaguzi mkuu kwa kuandika na kutangaza amani hali itakayosaidia uchaguzi kufanyika kwa amani
Akizungumza katika mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala ya ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mkuu,uliofanyika jijini Arusha mwisho mwa wiki, ulioandaliwa na mtandao wa utetezi wa haki za binadamu. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoa Arusha Husna Mwilima alisema kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Tamisemi yahamasisha uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeomba viongozi wa vyama vya siasa na asasi za kiraia kuhamasisha watanzania kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kupiga kura waweze kushirikiana katika uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA UCHAGUZI YATANGAZA KUANZA UANDIKISHAJI BVR DAR ES SALAAM NA PWANI

Na Mwandishi-Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia  Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. 
Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa vifaa vya uboreshaji kutoka mikoani ambavyo vilipelekwa ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani