CCM YAANZA NA MTAJI WA UBUNGE KABLA YA UCHAGUZI MKUU
Ijumaa ikiwa ndio ni siku ya Mwisho kuchukua na Kurejesha Fomu za Urais,Ubunge na Udiwani Katika Majimbo Yote ya Uchaguzi Nchini,Chama Cha Mapinduzi Kimeanza Vema Harakati Hizo baada ya Aliekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Abdallah Dadi Chikota (pichani) kupita bila kupingwa kuwa Mbunge wa Jimbo jipya la Nanyamba,Mkoani Mtwara
Hatua hiyo Imetokea baada ya wagombea wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Na aliekuwa Mgombea wa Chama cha Wananchi CUF Kutojitokeza Kurudisha Fomu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 Dec
10 years ago
Dewji Blog12 Dec
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Uandikishaji ukamilike kabla ya Uchaguzi Mkuu
10 years ago
Habarileo03 Oct
Pinda atamani kura kabla ya Uchaguzi Mkuu
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema ana shauku kuona Katiba Inayopendekezwa, inapigiwa kura na Watanzania na kuwa Katiba kabla hata ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, kwa kuwa ikiachiwa kuna watu wanaweza kuleta vurugu.
9 years ago
CHADEMA BlogKAULI YA PROF MWESIGA BAREGU KABLA YA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Vijimambo06 May
Chadema yaanza mbio Uchaguzi mkuu rasmi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa ratiba kwa wanachama wake wanaotaka kugombea udiwani, ubunge na urais kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015 kujitokeza kuchukua fomu.
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, alitangaza ratiba hiyo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam kuhusiana na maazimio yaliyofikiwa na Kamati...
10 years ago
Dewji Blog04 Oct
Katiba mpya ikamilike kabla ya Uchaguzi Mkuu — Mizengo Pinda
Na Mwandishi wetu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani) amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Akizungumza Bungeni baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kutoa shukrani, Pinda alipendekeza kura ya maoni ipigwe sambamba na Rais ili kiongozi ajaye afanye kazi ya kutekeleza matakwa ya Katiba hiyo.
Alisema rais ajaye anaweza kuwa na ajenda zake, hivyo ni muhimu kumaliza kazi yote na...
10 years ago
VijimamboUWT YAANZA VIKAO VYA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE VITI MAALUM KUPITIA CCM
10 years ago
Michuzi12 Apr
MTANDAO WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU WAHAMASISHA AMANI KABLA YA UCHAGUZI MKUU
Waandishi wa habari hapa Nchini wametakiwa kuwaelimisha jamii juu ya umuhimu wa amani katika nchi ya Tanzania tunapoelekea uchaguzi mkuu kwa kuandika na kutangaza amani hali itakayosaidia uchaguzi kufanyika kwa amani
Akizungumza katika mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala ya ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mkuu,uliofanyika jijini Arusha mwisho mwa wiki, ulioandaliwa na mtandao wa utetezi wa haki za binadamu. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoa Arusha Husna Mwilima alisema kuwa...