WILFRED LWAKATARE (CHADEMA) ATANGAZWA KUWA MBUNGE WA BUKOBA MJINI
Hatimaye Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema Bw. Wilfred Muganyizi Lwakatare ameibuka kidedea na kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki. Matokeo hayo yalitangazwa usiku na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini Bw. Aron T. Kagurumjuli. Kura za Udiwani Chadema/ Ukawa imeshinda Kata zifuatazo: Kahororo, Kagondo, Kibeta, Kitendaguro, Nshambya, Hamugebe, Kashai, Bakoba na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWILFRED LWAKATARE WA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA UBUNGE BUKOBA MJINI
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-wWHTy5RnRQM/Vi3a7yZLDMI/AAAAAAAAnqA/HtrEPUeuTAU/s72-c/1.jpg)
ESTER MATIKO (CHADEMA) ATANGAZWA RASMI KUWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE TARIME MJINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-wWHTy5RnRQM/Vi3a7yZLDMI/AAAAAAAAnqA/HtrEPUeuTAU/s1600/1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Jul
Wananchi wa Morogoro mjini wamnunulia fomu Abood ili aendelee kuwa mbunge wao Jimbo Morogoro mjini
![](https://mmi203.whatsapp.net/d/BBpzRaxwBsSgUTYiFylVpFWovuQ/AlSN--FYdVvyXzfBoJJbdd0Y5jIcL3YPi0UOIWPXknOC.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood akipokea michango ya wanafunzi waliojitokeza kumchangia mbunge huyu ili achukue fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi Mara baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wa Mbunge huyo ambaye amefanya mambo mengi ya maendeleo ikiwemo kuwalipia ada zaidi ya wanafunzi 500 wasiokuwa na uwezo wa kujilipia ada na wanaoishi katika mazingira magumu.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood, akipokea kiasi cha...
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Misaada ya Lwakatare yakataliwa Bukoba
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-A8ieHaSIP9o/Vf2Fw8FzJ0I/AAAAAAAACZM/LFTrrj04WgI/s72-c/OTH_7295.jpg)
Mgombea Urais Chadema Mhe Lowassa Apokelewa kwa Kishindo Mjini Bukoba leo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-A8ieHaSIP9o/Vf2Fw8FzJ0I/AAAAAAAACZM/LFTrrj04WgI/s640/OTH_7295.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-aDVWxtQMsJA/Vf2GnawU_GI/AAAAAAAACdU/oM8kPuBI190/s640/OTH_8194.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sPXV2c37HR8/Vf2GobnXByI/AAAAAAAACdc/v6V4YRCKTPc/s640/OTH_8216.jpg)
9 years ago
Habarileo28 Oct
Zungu atangazwa Mbunge Ilala
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Ilala kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Azzan Zungu, ametetea kiti chake cha ubunge baada ya kutangazwa mshindi.
10 years ago
MichuziMbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA
akizungumza na waandishi wa habari.
Picha ya maktaba.Akizungumza mjini Mpanda katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, jana Mhe Saidi Arfi aliwaeleza wananchi wa Mpanda kuwa uanachama wake ndani ya CHADEMA utakoma mara tu baada ya kuvunjwa Bunge Julai 9.Pia, alitumia mkutano huu kuwaaga wananchi wa jimbo hilo akisema hatagombea tena nafasi hiyo aliyoitumikia kwa miaka kumi. Mhe. Arfi alifafanua kuwa hayuko tayari...
11 years ago
MichuziKESI YA MBUNGE WA IRINGA MJINI (CHADEMA) YAAHIRISHWA MPAKA APRIL 9
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mh.PETER MSIGWA kwa mara nyingine amefikishwa leo katika mahakama kuu ya mkoa , kufuatia tuhuma inayomkabili ya kufanya vurugu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya nduli manispaa ya iringa.
Tukio hilo limetoke tarehe 6 ya mwezi wa pili ambapo SALUM KEITA mjumbe wa kampeni hizo kupitia chama cha mapinduzi alidai kufanyiwa vurugu na mbunge wa jimbo la iringa mjini kwa kumpiga.
Kesi hiyo...
11 years ago
Michuzi13 Apr
MKUTANO WA KRFA WAFANA MJINI BUKOBA, JAMAL EMIL MALINZI KUENDELEA KUWA MWENYEKITI KRFA
Chama cha mpira wa miguu Mkoa wa Kagera (KRFA) kimefanya mkutano mkuu wa kawaida kwenye ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kagera na Mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa wilaya ya Missenye Kanal Issa Njiku.
Awali akisoma taarifa yake mwenyekiti wa KRFA ambae pia ni Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi aliwashukuru wajumbe wote wa mkutano mkuu kwa namna walivyoshiriki kwa namna tofauti katika kuendeleza michezo katika wilaya zote za Mkoa wa Kagera,Hotuba iliyosheheni mipango kedekede...