WILFRED LWAKATARE WA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA UBUNGE BUKOBA MJINI
Hatimaye Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema Bw. Wilfred Lwakatare ameibuka kidedea leo hii kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini akiibuka kidedea dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki. Matokeo hayo yametanga usiku huu punde na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini Bw. Aron T. Kagurumjuli. Kura za Udiwani Chadema/ Ukawa imeshinda Kata zifuatazo: Kahororo, Kagondo, Kibeta, Kitendaguro, Nshambya, Hamugebe,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWILFRED LWAKATARE (CHADEMA) ATANGAZWA KUWA MBUNGE WA BUKOBA MJINI
10 years ago
Dewji Blog13 Sep
Halima Mdee aibuka kidedea wanawake CHADEMA
Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA.
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chama hicho (BAVICHA) unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City.
Akizungumza baada ya uchaguzi huo, Mdee aliwaasa wanawake kwa wanawake kuwa wamoja badala ya kupigana vijembe wao kwa wao ili maendeleo ya mwanamke yaweze kupatina na na kuondokana na mfumo dume
“Nimezoea kuona watu wanaotukashifu ni wa upande wa pili kutokana na mfumo dume uliojengeka...
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Phidesia Mwakilima aibuka kidedea uchaguzi wa Ubunge wa viti maalum kupitia tiketi ya Jumuiya ya Wazazi CCM
![http://2.bp.blogspot.com/-RCy23A0BZXU/VXGrU4TGNzI/AAAAAAAAPCU/JU7jwGuH2Mw/s1600/11390351_860026487378599_5734199586013076232_n.jpg](http://2.bp.blogspot.com/-RCy23A0BZXU/VXGrU4TGNzI/AAAAAAAAPCU/JU7jwGuH2Mw/s640/11390351_860026487378599_5734199586013076232_n.jpg)
Mwanadada Phidesia Mwakilima.
Na Woinde Shizza, wa libeneke la kaskazini blog
Mkurugenzi wa kampuni ya Phide Entertainment ambaye pia ni Meneja masoko wa kituo cha redio Triple A ya Arusha, Phidesia Mwakilima, ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa mbunge viti maalum kupitia Jumuiya ya wazazi (UWT) Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha.
Phidesia Mwakilima, amepata kura 18 na kuwashinda, Aimbora Nnko, aliyepata kura 6, Angela Mwanri kura 4 na Anna John kura 2 ,uchaguzi huo umefanyika ukumbi wa...
9 years ago
VijimamboUPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Chanzo:...
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Lwakatare aibuka, amponda Nchemba wa CCM
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Misaada ya Lwakatare yakataliwa Bukoba
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-A8ieHaSIP9o/Vf2Fw8FzJ0I/AAAAAAAACZM/LFTrrj04WgI/s72-c/OTH_7295.jpg)
Mgombea Urais Chadema Mhe Lowassa Apokelewa kwa Kishindo Mjini Bukoba leo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-A8ieHaSIP9o/Vf2Fw8FzJ0I/AAAAAAAACZM/LFTrrj04WgI/s640/OTH_7295.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-aDVWxtQMsJA/Vf2GnawU_GI/AAAAAAAACdU/oM8kPuBI190/s640/OTH_8194.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sPXV2c37HR8/Vf2GobnXByI/AAAAAAAACdc/v6V4YRCKTPc/s640/OTH_8216.jpg)
10 years ago
Habarileo08 Jul
Chadema wachuana ubunge Tabora Mjini
WANACHAMA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kuingia katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa katika Ukawa kuwania ubunge jimbo la Tabora Mjini.
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Zitto aibuka kidedea mahakamani