Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halima Mdee aibuka kidedea wanawake CHADEMA

Untitled

Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA.

Na Mwandishi wetu

Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chama hicho (BAVICHA) unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City.

Akizungumza baada ya uchaguzi huo, Mdee aliwaasa wanawake kwa wanawake kuwa wamoja badala ya kupigana vijembe wao kwa wao ili maendeleo ya mwanamke yaweze kupatina na na kuondokana na mfumo dume

“Nimezoea kuona watu wanaotukashifu ni wa upande wa pili kutokana na mfumo dume uliojengeka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Halima Mdee aibuka kidedea Bawacha

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Suzan Lyimo.

 

10 years ago

Vijimambo

Lazima kuwe na fedha za kuwezesha wanawake: Halima Mdee

Joseph Msami katika mahojiano na Halima Mdee/Picha na ubalozi wa Tanzania
Uwekezaji kifedha, uwajibikaji mujarabu wa wanawake ni moja ya mambo ambayo yakitekelezwa kikamilifu wanawake na wasichana wanaweza kupiga hatua katika nyanja mbalimbali.
Katika mahojiano maalum na Joseph Msami mjini New York, mwakilishi wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Halima Mdee katika mkutano wa 59 wa Kamisheni ya hali ya wanawake anasema uwezeshaji kwa wanawake unawezekana ikiwa kutakuwa na utashi wa...

 

9 years ago

Michuzi

WILFRED LWAKATARE WA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA UBUNGE BUKOBA MJINI


Hatimaye Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema Bw. Wilfred Lwakatare ameibuka kidedea leo hii kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini akiibuka kidedea dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki. Matokeo hayo yametanga usiku huu punde na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini Bw. Aron T. Kagurumjuli. Kura za Udiwani Chadema/ Ukawa imeshinda Kata zifuatazo: Kahororo, Kagondo, Kibeta, Kitendaguro, Nshambya, Hamugebe,...

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA, FLORA MBASHA WAIBUKIA MKUTANO WA CHADEMA KAWE, NI ULE WA KUZINDUA KITABU CHA MBUNGE HALIMA MDEE

Msanii wa nyimbo za Injili Flora Mbasha, (mwenye nguo nyeusi), akiongoza mashambulizi jukwani
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, leo hii alasiri Mei 24, wameibukia kwenye mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Flora Mbasha chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Liyumba aibuka kidedea Dar

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba kutokana na upelelezi uliofanywa kuwa mbovu na wakili aliyekuwa akiiendesha kesi hiyo kuwa mzembe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton aibuka kidedea

Lewis Hamilton ameshinda mbio za Abu Dhabi Grand Prix,na kumfanya dreva huyo wa Formula One kuwa mshindi kwa mara ya pili.

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto aibuka kidedea mahakamani

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe ameshinda maombi yake dhidi ya chama hicho mahakamani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Halima Mdee ngangari

JESHI la Polisi jana lilitembeza mkong’oto na kuwakamata makada na viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), waliokuwa wakiandamana kwenda Ikulu Mwenyekiti wa Bawacha, Halima...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK amzimia Halima Mdee

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), jana aligeuka kivutio kikubwa katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Mwenge hadi Tegeta. Katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam, Mdee,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani