Halima Mdee aibuka kidedea Bawacha
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Suzan Lyimo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Sep
Halima Mdee aibuka kidedea wanawake CHADEMA
Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA.
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chama hicho (BAVICHA) unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City.
Akizungumza baada ya uchaguzi huo, Mdee aliwaasa wanawake kwa wanawake kuwa wamoja badala ya kupigana vijembe wao kwa wao ili maendeleo ya mwanamke yaweze kupatina na na kuondokana na mfumo dume
“Nimezoea kuona watu wanaotukashifu ni wa upande wa pili kutokana na mfumo dume uliojengeka...
10 years ago
MichuziHALIMA MDEE AWA MWENYEKITI MPYA BAWACHA
10 years ago
Michuzi04 Oct
Halima Mdee akamatwa na Polisi walipowatawanya BAWACHA
Aidha, jeshi hilo limemkamata Mwenyekiti wa BAWACHA, Mhe. Halima Mdee aliyekuwa akiyaongoza maandamano hayo.
BAWACHA walipanga kuandamana hadi Ikulu ya Dar es Salaam kwa nia ya kuonana na Rais Jakaya Kikwete ili kumsishi asisaini Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ambayo ilipitishwa na...
10 years ago
VijimamboANGALIA PICHA: BAWACHA WALIPOANDAMANA KUELEKEA IKULU, HALIMA MDEE AKAMATWA NA POLISI
10 years ago
Habarileo13 Sep
Mdee Mwenyekiti mpya Bawacha
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha), baada ya kupata kura 165 kati ya kura 244 na kuwaacha wenzake mbali.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Mdee aing’arisha BAWACHA
MWENYEKITI wa Taifa wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee na viongozi wenzake, wameendelea kuking’arisha chama hicho Kanda ya Ziwa, huku akiwataka wananchi wa Msalala kukikataa Chama Cha Mapinduzi...
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Lewis Hamilton aibuka kidedea
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Zitto aibuka kidedea mahakamani
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Liyumba aibuka kidedea Dar