ANGALIA PICHA: BAWACHA WALIPOANDAMANA KUELEKEA IKULU, HALIMA MDEE AKAMATWA NA POLISI
Mwenyekiti wa BAWACHA ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kawe kupitia CHADEMA Halima Mdee akiwa katika maandamano akiwaongoza wanawake wenzake kuelekea Ikulu kumpelekea ujumbe Rais Jakaya Kikwete kwamba hasikubali kuweka saini Rasimu mpya iliyopitishwa juzi mjini Dodoma, maandamano hayo kabla hayajafika mbali walitawanywa na jeshi la polisi lililotumia maji ya kuwasha pamoja na kupigwa kwa waandamanaji na kumshika mwenyekiti huyo Halima Mdee pamoja na wafuasi wake na kupelekwa polisi Osterbay...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Oct
Halima Mdee akamatwa na Polisi walipowatawanya BAWACHA
Aidha, jeshi hilo limemkamata Mwenyekiti wa BAWACHA, Mhe. Halima Mdee aliyekuwa akiyaongoza maandamano hayo.
BAWACHA walipanga kuandamana hadi Ikulu ya Dar es Salaam kwa nia ya kuonana na Rais Jakaya Kikwete ili kumsishi asisaini Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ambayo ilipitishwa na...
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Halima Mdee aibuka kidedea Bawacha
10 years ago
MichuziHALIMA MDEE AWA MWENYEKITI MPYA BAWACHA
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Halima Mdee akamatwa Dar
10 years ago
Michuzi03 Oct
11 years ago
Bongo509 Aug
Picha/Video: Ephraim Kibonde akamatwa na polisi kwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya trafiki
10 years ago
Habarileo13 Sep
Mdee Mwenyekiti mpya Bawacha
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha), baada ya kupata kura 165 kati ya kura 244 na kuwaacha wenzake mbali.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Mdee aing’arisha BAWACHA
MWENYEKITI wa Taifa wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee na viongozi wenzake, wameendelea kuking’arisha chama hicho Kanda ya Ziwa, huku akiwataka wananchi wa Msalala kukikataa Chama Cha Mapinduzi...
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Wanawake wa Bawacha wamchukulia fomu Mdee