Halima Mdee akamatwa na Polisi walipowatawanya BAWACHA
Jeshi la polisi katika Kanda maalum ya Dar es Salaam limetumia maji ya kuwasha kuwatawanya wafuasi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) waliokuwa wakijiandaa KUANDAMANA hadi Ikulu.
Aidha, jeshi hilo limemkamata Mwenyekiti wa BAWACHA, Mhe. Halima Mdee aliyekuwa akiyaongoza maandamano hayo.
BAWACHA walipanga kuandamana hadi Ikulu ya Dar es Salaam kwa nia ya kuonana na Rais Jakaya Kikwete ili kumsishi asisaini Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ambayo ilipitishwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboANGALIA PICHA: BAWACHA WALIPOANDAMANA KUELEKEA IKULU, HALIMA MDEE AKAMATWA NA POLISI
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Halima Mdee aibuka kidedea Bawacha
10 years ago
MichuziHALIMA MDEE AWA MWENYEKITI MPYA BAWACHA
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Halima Mdee akamatwa Dar
10 years ago
Habarileo13 Sep
Mdee Mwenyekiti mpya Bawacha
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha), baada ya kupata kura 165 kati ya kura 244 na kuwaacha wenzake mbali.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Mdee aing’arisha BAWACHA
MWENYEKITI wa Taifa wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee na viongozi wenzake, wameendelea kuking’arisha chama hicho Kanda ya Ziwa, huku akiwataka wananchi wa Msalala kukikataa Chama Cha Mapinduzi...
10 years ago
AllAfrica.Com10 Oct
Mdee, Bawacha Members Released On Bond
AllAfrica.com
Halima Mdee, leader of the women's wing of Tanzania's Chama Cha Demokrasia na Maedeleo opposition party, known as BAWACHA, and eight other members were released from prison on bond Wednesday (October 8th), Tanzania's Daily News reported.
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Wanawake wa Bawacha wamchukulia fomu Mdee
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
JK amzimia Halima Mdee
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), jana aligeuka kivutio kikubwa katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Mwenge hadi Tegeta. Katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam, Mdee,...