Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALIMA MDEE AWA MWENYEKITI MPYA BAWACHA

Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa (Bawacha), wakifungua shampeni kusherehekea ushindi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Taifa, Halima Mdee (kushoto) baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi huo. (Picha na Francis Dande) Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bara), Hawa Mwaifunga akilia kwa furaha baada ya kushinda nafasi hiyo katika uchaguzi uliofanyika juzi.  Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake wa Chadema wakiwa katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mdee Mwenyekiti mpya Bawacha

Halima MdeeMBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha), baada ya kupata kura 165 kati ya kura 244 na kuwaacha wenzake mbali.

 

10 years ago

Mwananchi

Halima Mdee aibuka kidedea Bawacha

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Suzan Lyimo.

 

10 years ago

Michuzi

Halima Mdee akamatwa na Polisi walipowatawanya BAWACHA

Jeshi la polisi katika Kanda maalum ya Dar es Salaam limetumia maji ya kuwasha kuwatawanya wafuasi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) waliokuwa wakijiandaa KUANDAMANA hadi Ikulu.
Aidha, jeshi hilo limemkamata Mwenyekiti wa BAWACHA, Mhe. Halima Mdee aliyekuwa akiyaongoza maandamano hayo.
BAWACHA walipanga kuandamana hadi Ikulu ya Dar es Salaam kwa nia ya kuonana na Rais Jakaya Kikwete ili kumsishi asisaini Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ambayo ilipitishwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

ANGALIA PICHA: BAWACHA WALIPOANDAMANA KUELEKEA IKULU, HALIMA MDEE AKAMATWA NA POLISI

Mwenyekiti wa BAWACHA ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kawe kupitia CHADEMA Halima Mdee akiwa katika maandamano akiwaongoza wanawake wenzake kuelekea Ikulu kumpelekea ujumbe Rais Jakaya Kikwete kwamba hasikubali kuweka saini Rasimu mpya iliyopitishwa juzi mjini Dodoma, maandamano hayo kabla hayajafika mbali walitawanywa na jeshi la polisi lililotumia maji ya kuwasha pamoja na kupigwa kwa waandamanaji na kumshika mwenyekiti huyo Halima Mdee pamoja na wafuasi wake na kupelekwa polisi Osterbay...

 

10 years ago

Michuzi

Ndassa awa Mwenyekiti Mpya wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini

Mwenyekiti Mteule wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Richard Ndassa (Mb) akiwashukuru wajumbe wa Kamati hiyo baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo baada ya Mwenyekiti wa awali Mhe. Victor Mwambalaswa kujiuzulu kufuatia maazimio ya Bunge kuhusu sakata la Account ya Tegeta ya Escrow. Mhe. Ndasa alimshinda mpinzani wake Mhe. Jerome Bwanausi (Mb) katika uchaguzi huo. Makamu Mwenyekiti wa Kamati Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Jerome Bwanausi akitoa neno la shukrani mbele...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Rais Jakaya Kikwete,Naibu Rais wa Kenya,William Rutto na maafisawengine wakiwa kwenye Jengo la mikutano wa kimataifa la Kenyatta International Convention Center(KICC)Nairobi,Kenya wakati wa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania katika mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo.20/2/2015Kutoka kushoto ni mgeni mwalikwa,Rais wa Sudani Kusini,Salva Kiir,Raiswa Burundi,Pierre Nkurunziza,Rais Jakaya Kikwete(Tanzania),Rais Uhuru Kenyatta(Kenya)Rais Yoweri...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI‏

Rais Jakaya Kikwete,Naibu Rais wa Kenya,William Rutto na maafisa wengine wakiwa kwenye Jengo la mikutano wa kimataifa la Kenyatta International Convention Center(KICC)Nairobi,Kenya wakati wa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania katika mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika jana 20/2/2015
Kutoka kushoto ni mgeni mwalikwa,Rais wa Sudani Kusini,Salva Kiir,Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza,Rais...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mdee aing’arisha BAWACHA

MWENYEKITI wa Taifa wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee na viongozi wenzake, wameendelea kuking’arisha chama hicho Kanda ya Ziwa, huku akiwataka wananchi wa Msalala kukikataa Chama Cha Mapinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani