RAIS KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Rais Jakaya Kikwete,Naibu Rais wa Kenya,William Rutto na maafisa wengine wakiwa kwenye Jengo la mikutano wa kimataifa la Kenyatta International Convention Center(KICC)Nairobi,Kenya wakati wa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania katika mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika jana 20/2/2015 Kutoka kushoto ni mgeni mwalikwa,Rais wa Sudani Kusini,Salva Kiir,Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza,Rais...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Rais Kikwete akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
“Tunaamini kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyogawanyika, haitaweza kuchukua nafasi yake kamili na heshima katika familia ya Mataifa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--YoYHGFhUGo/U2DhGPWtTJI/AAAAAAAFeHc/VSOVndhooxs/s72-c/kikwete+na+uhuru.jpg)
Rais Kikwete ahudhuria Mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Arusha
![](http://4.bp.blogspot.com/--YoYHGFhUGo/U2DhGPWtTJI/AAAAAAAFeHc/VSOVndhooxs/s1600/kikwete+na+uhuru.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-eLy3X1gRjOo/U2DhGkkt4xI/AAAAAAAFeHY/QldNgcP93u8/s1600/marais.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi Bonanza la Maveteran wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Aprili 4-5, mwaka huu
Mwenyekiti wa Klabu ya Maveteran, Mussa Kisoky (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya Bonanza hilo la Maveteran wa Afrika Mashariki hiyo Aprili 4 hadi 5, mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Mtemi Ramadhani na kwa upande wa kulia ni, Lawarence Mwalusako, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Idara habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam (Picha na Andrew Chale).
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
RAIS wa Jamhuri ya...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/HfULSMZVqrw/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-reT7fSF_m-k/VVSPH6dRZmI/AAAAAAAHXRs/ObkeLAYa93E/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-14%2Bat%2B2.56.00%2BPM.png)
MARAIS WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALAANI JARIBIO LA KUPINDULIWA KWA RAIS NKURUNZINZA - MEMBE
Globu ya Jamii
MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamelaani kitendo cha baadhi ya askari kufanya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Burundi.Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amesema kuwa hali ya Burundi ni tete na kwamba japo linaonekana ni jambo dogo lakini linaweza kugharimu maisha ya watu.
"Hivyo tunatakiwa tuvute subira...Tusubiri na sio kulitangaza suala hilo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-c5TD0fjOhtk/U2UTaUBiGHI/AAAAAAAFfMI/wpOteJtrzmM/s72-c/unnamed+(4).jpg)
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AMWAKILISHA RAIS KIKIWETE KWENYE MKUTANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI -NAIROBI
![](http://2.bp.blogspot.com/-c5TD0fjOhtk/U2UTaUBiGHI/AAAAAAAFfMI/wpOteJtrzmM/s1600/unnamed+(4).jpg)
10 years ago
VijimamboMWANAHARAKATI WA BURUNDI AOMBA MKUTANO WA KESHO WA MARAISI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUTOMRUHUSU RAIS NKURUNZIZA KUTOGOMBEA MUHULA WA TATU
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4tTXJHxqAds/VecIMMhQ6mI/AAAAAAAC-SM/WJFBcq1HCuc/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-4tTXJHxqAds/VecIMMhQ6mI/AAAAAAAC-SM/WJFBcq1HCuc/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xgjEBSRfBt4/VecIRQhUHOI/AAAAAAAC-TE/8hE5drxhgh4/s640/7.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-7Dg8fnHuoLk/VecIMkrhm2I/AAAAAAAC-SU/23BbaeylQBM/s640/11.jpg)