MARAIS WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALAANI JARIBIO LA KUPINDULIWA KWA RAIS NKURUNZINZA - MEMBE
Na Chalila Kibuda,
Globu ya Jamii
MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamelaani kitendo cha baadhi ya askari kufanya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Burundi.Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amesema kuwa hali ya Burundi ni tete na kwamba japo linaonekana ni jambo dogo lakini linaweza kugharimu maisha ya watu.
"Hivyo tunatakiwa tuvute subira...Tusubiri na sio kulitangaza suala hilo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWANANCHI WA BURUNDI WASHANGILIA KUPINDULIWA KWA RAIS NKURUNZINZA
10 years ago
VijimamboWAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
MichuziMembe aongoza Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye mazungumzo nchini Burundi
10 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi, Katibu Mkuu...
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Rais Kikwete akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
“Tunaamini kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyogawanyika, haitaweza kuchukua nafasi yake kamili na heshima katika familia ya Mataifa...
11 years ago
MichuziRais Kikwete ahudhuria Mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Arusha
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI