Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WA BURUNDI WASHANGILIA KUPINDULIWA KWA RAIS NKURUNZINZA

Wananchi wa Burundi wakishangilia baada ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kupinduliwa. Maandamano ya kushangilia yakiendelea mjini…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MARAIS WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALAANI JARIBIO LA KUPINDULIWA KWA RAIS NKURUNZINZA - MEMBE

Na Chalila Kibuda,
Globu ya Jamii 
MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamelaani kitendo cha baadhi ya askari kufanya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Burundi.Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amesema  kuwa hali ya Burundi ni tete na kwamba japo linaonekana ni jambo dogo lakini linaweza kugharimu maisha ya watu. 
"Hivyo tunatakiwa tuvute subira...Tusubiri na sio kulitangaza suala hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu mjumbe maalum wa Serikali ya Burundi Sheikh Mohamed Rukara ambaye aliwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza leo jioni.Sheikh Mohamed Rukara ni Mkuu wa Utumishi katika serikali ya Burundi(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Rais Nkurunzinza ''apinduliwa''

Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA.

 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya  Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi jana jijini Dar es Salaam.  Dkt. Kikwete amefahamiana na Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi wakati huo Rais Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Rais Nkurinzinza akiwa kiongozi wa CNDD-FDD na baadae wote wakiwa Marais wa nchi zao.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BARAZA LA SENETI NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI,PIERRE NKURUNZINZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Ndugu Reverien Ndikuriyo, Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ndugu Reverien Ndikuriyo, Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi. PICHA NA IKULU.

 

10 years ago

Vijimambo

BURUNDI AMANI NI TETE RAIS NKURUNZINZA "APINDULIWA''

20:30 Meja jenerali Godefroid Niyombarekuwa ametangaza kufungua kwa mipaka yote ya Burundi.Rais Nkurunzinza hajulikani aliko
20:29 Kundi hilo limekanusha tangazo la Meja jenerali Godefroid Niyombare kuwa ameipindua serikali ya Nkurunzinza
20:28 Kundi la wanajeshi wanomuunga mkono Nkurunzinza wangali wanadhibiti Ikulu na kituo cha redio ya taifa''AFP''.
Ramani ya kanda ya Afrika Mashariki
20:42 Hakuna uhakika iwapo ndege ya rais Nkurunzinza itaruhusiwa kutuaWanajeshi wakitangamana na raia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani