RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-ebOeoXUFsM4/XuXwPJZ0whI/AAAAAAALtxE/X-bqpmdUIMUr2z76A3etaBZcp8L81u0vwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-14%2Bat%2B12.01.27%2BPM.jpeg)
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi jana jijini Dar es Salaam. Dkt. Kikwete amefahamiana na Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi wakati huo Rais Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Rais Nkurinzinza akiwa kiongozi wa CNDD-FDD na baadae wote wakiwa Marais wa nchi zao.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-aR_btM6ynds/XuXywl5T8_I/AAAAAAABMXI/4KCJQIP4YhwzX0bonbrbXSYGEmOFalYOwCLcBGAsYHQ/s72-c/EadnFvpXkAAa2Gm.jpeg)
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI, NKURUNZIZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-aR_btM6ynds/XuXywl5T8_I/AAAAAAABMXI/4KCJQIP4YhwzX0bonbrbXSYGEmOFalYOwCLcBGAsYHQ/s400/EadnFvpXkAAa2Gm.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-YN9dOei-atc/XuXywi-rqjI/AAAAAAABMXA/rIwB8d19V-A0iZay7SEKWHvtSOaAcy5BACLcBGAsYHQ/s400/EadnFviXQAAMI0g.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-fuSZEj6KE40/XuXywtUVV6I/AAAAAAABMXE/cNN-D3X69SQOG7CHIboW1doEHShG3VxRACLcBGAsYHQ/s400/JK.jpeg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-DBjTq9G57iM/XuQ1gu8lV0I/AAAAAAAC7bk/Rx8S1dzCMKogVhVsFMvf5u6-aNQEa9B9ACLcBGAsYHQ/s72-c/5.jpg)
10 years ago
Dewji Blog30 Oct
Rais Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kusononeshwa sana na taarifa za kifo cha Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mheshimiwa Michael Chilufya Sata (pichani) ambacho kimetokea jana, Jumanne, Oktoba 28, 2014 kwenye Hospitali ya King Edward VII, London, Uingereza, ambako alikuwa anatibiwa akiwa na umri wa miaka 77.
Katika salamu ambazo amempelekea Makamu wa Rais wa Zambia, Mheshimiwa Dkt. Guy Scott kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
Domitien Ndayizeye aliyekuwa rais wa Burundi asikitishwa na kifo cha Pierre Nkurunziza
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA
10 years ago
Dewji Blog26 Apr
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Brigedia mstaafu Hashim Mbita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TPDF), Chama cha TANU na Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Africa – Liberation Committee of the African National Unity (OAU), Brigedia Hashim Mbita, kiongozi ambaye Rais Kikwete amemwelezea kama mmoja wa viongozi ambao wameifanyia nchi yetu mengi na kwa miaka mingi.
Rais Kikwete ambaye...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R18dQGI6uh*OEDQmU*V0WJIDjB5CeRfxoptceqc-YNuRtvwqO1YgLTM9eTokQwwPaFkQBP9KtUrbLguAEQDjHcS/1536668_695124830520391_2134470031_n.jpg)
9 years ago
MichuziRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3bxIkxhe-tc/Vo06jrDogdI/AAAAAAADElU/fuh6Qlgm5Vk/s1600/New%2BPicture.png)
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akabidhiwa rasmi ofisi na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Ikulu, Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-tgNcoF9ufak/VkSPy6o24LI/AAAAAAAIFdo/DC7CsZoc1B0/s640/jpJK%2B%25281%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Jac6XOpCQ8g/VkSPy-I5yNI/AAAAAAAIFds/kwff6srFcjM/s640/jpJK%2B%25282%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X2j3mXwwlBQ/VkSQRrOdHAI/AAAAAAAIFd8/hheeKoqrIMk/s640/jpJK%2B%25283%2529.jpg)