Rais Kikwete aomboleza kifo cha Brigedia mstaafu Hashim Mbita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TPDF), Chama cha TANU na Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Africa – Liberation Committee of the African National Unity (OAU), Brigedia Hashim Mbita, kiongozi ambaye Rais Kikwete amemwelezea kama mmoja wa viongozi ambao wameifanyia nchi yetu mengi na kwa miaka mingi.
Rais Kikwete ambaye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE ATUMA SALAMA ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA BRIGEDIA HASHIM MBITA
Mjane wa marehemu Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita, Ngeme Mbita (katikati) akiwa na waombolezaji wengine nyumbani kwa marehemu, Chang’ombe jijini Dar es Salaam leo. Brigedia Mbita amefariki leo katika Hospitali ya Lugalo.(Picha na Francis Dande) Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba akiwa nyumbani kwa marehemu, Brigedia Jenerali Hashim Mbita Chang'ombe jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Heshima wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Said El Maamry na Mkurugenzi wa...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
RAIS KIKWETE AMJULIA HALI BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM MBITA HOSPITALI YA LUGALO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa mmoja wa viongozi waandamizi katika harakati za ukombozi Barani Afrika Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM MBITA LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang'ombe jijini Dar es salaam jioni ya leo April 27, 2015. Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika msikito wa Mtoro, baada ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
10 years ago
MichuziMwanafunzi wa Tanzania Aibuka mshindi wa Kwanza Tuzo ya Isha SADC, Rais Mugabe amtunuku Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven Mtwanga(16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti Makambako,Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utunzi wa insha katika shindano lililoandaliwa na Jumuiya ya uchumi ya maendeleo kusini mwa Afrika(SADC).Rais Kikwete alimpongeza mwanafunzi huyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa kitalii wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe ambapo...
10 years ago
MichuziRais Kikwete atoa heshima za Mwisho kwa Brigedia Jenerali Hashim Mbita
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika (OAU) marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Rais Kikwete akiifariji familia ya Marehemu muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho(picha na Freddy Maro).
10 years ago
MichuziSalam za Rambirambi kutoka kwa Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa Familia ya Marehemu Brigedia Hashim Mbita
Nimeshtushwa sana na kifo cha Kiongozi huyu mashuhuri aliyechangia kwa dhati harakati za ukombozi wa Bara la Afrika. Nimehuzunishwa mno, mimi Binafsi, Familia yangu na nina imani msiba huu mzito sio wa Watanzania peke yao, bali ni wa Bara zima la Afrika kwa ujumla. Katika harakati za kumzika kiongozi huyo, sitokuwepo kwa kuwa niko safarini lakini nitawakilishwa na wanangu wakiongozwa na Dkt Hussein. Kwa Mola tumetoka na kwake Mola sote tutarejea. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya...
5 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi jana jijini Dar es Salaam. Dkt. Kikwete amefahamiana na Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi wakati huo Rais Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Rais Nkurinzinza akiwa kiongozi wa CNDD-FDD na baadae wote wakiwa Marais wa nchi zao.
10 years ago
VijimamboBRIGEDIA JENERALI ( MSTAAFU ) HASHIM MBITA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, JIJINI DAR
Viongozi mbali mbali wa Dini ya Kiislam wakishiriki pamoja na waumini wao kwenye Ibada ya kuuswalia mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita kwenye Msikiti wa Mtoro, Kariakoo na baadae kwenda kuuhifadhi kwenye nyumba yake ya milele, Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es Salaam. Picha zote na Hamis Makuka.Maelfu ya waunini wa kiislam wakishiriki kuubeba mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita wakati wakiutoa kwenye Msikiti wa Mtoro, Kariakoo na tayari kwa kwenda...
10 years ago
VijimamboBALOZI WA UMOJA WA AFRIKA AMINA SALUM ALI ATOA RAMBI RAMBI KWA KIFO CHA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA
Balozi Amina Salum Ali
Na mwandishi wako, Washington, DC
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika, Mhe. Amina Salum Ali leo ametoa salamu za rambi rambi kwa Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita aliyefariki siku ya siku ya Jumapili April 26, 2015 asubuhi na kuzikwa siku ya Jumanne April 28, 2015 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Balozi Amina Salum Ali alisema amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la...
Na mwandishi wako, Washington, DC
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika, Mhe. Amina Salum Ali leo ametoa salamu za rambi rambi kwa Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita aliyefariki siku ya siku ya Jumapili April 26, 2015 asubuhi na kuzikwa siku ya Jumanne April 28, 2015 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Balozi Amina Salum Ali alisema amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania