Rais Kikwete atoa heshima za Mwisho kwa Brigedia Jenerali Hashim Mbita
.jpg)
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika (OAU) marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam leo.
Rais Kikwete akiifariji familia ya Marehemu muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho(picha na Freddy Maro).
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM MBITA LEO


10 years ago
Vijimambo08 Jan
RAIS KIKWETE AMJULIA HALI BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM MBITA HOSPITALI YA LUGALO


10 years ago
VijimamboBALOZI WA UMOJA WA AFRIKA AMINA SALUM ALI ATOA RAMBI RAMBI KWA KIFO CHA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA
Na mwandishi wako, Washington, DC
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika, Mhe. Amina Salum Ali leo ametoa salamu za rambi rambi kwa Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita aliyefariki siku ya siku ya Jumapili April 26, 2015 asubuhi na kuzikwa siku ya Jumanne April 28, 2015 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Balozi Amina Salum Ali alisema amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la...
11 years ago
MichuziMH. MEMBE AKABIDHI HUNDI YA DOLA LAKI 1 KWA FAMILIA YA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA
11 years ago
Michuzi
Mwanafunzi wa Tanzania Aibuka mshindi wa Kwanza Tuzo ya Isha SADC, Rais Mugabe amtunuku Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita


10 years ago
Dewji Blog26 Apr
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Brigedia mstaafu Hashim Mbita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TPDF), Chama cha TANU na Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Africa – Liberation Committee of the African National Unity (OAU), Brigedia Hashim Mbita, kiongozi ambaye Rais Kikwete amemwelezea kama mmoja wa viongozi ambao wameifanyia nchi yetu mengi na kwa miaka mingi.
Rais Kikwete ambaye...
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE ATUMA SALAMA ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA BRIGEDIA HASHIM MBITA
10 years ago
Vijimambo
BRIGEDIA JENERALI ( MSTAAFU ) HASHIM MBITA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, JIJINI DAR



10 years ago
Michuzi
Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita azikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar


