Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI WA UMOJA WA AFRIKA AMINA SALUM ALI ATOA RAMBI RAMBI KWA KIFO CHA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA

Balozi Amina Salum Ali
Na mwandishi wako, Washington, DC
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika, Mhe. Amina Salum Ali leo ametoa salamu za rambi rambi kwa Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita aliyefariki siku ya siku ya Jumapili April 26, 2015 asubuhi na kuzikwa siku ya Jumanne April 28, 2015 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Balozi Amina Salum Ali alisema amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atoa heshima za Mwisho kwa Brigedia Jenerali Hashim Mbita

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika (OAU) marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Rais Kikwete akiifariji familia ya Marehemu muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho(picha na Freddy Maro).

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA Mwenyekiti wa Chama Cha Madereva Tanzania (TADWU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anamtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Madereva Tanzania (TADWU) kufuatia kifo cha aliyekua Katibu Mkuu wa Chama hicho Bw. Rashid Salehe kilichotokea Tarehe 20 Novemba, 2015 katika Hospitali ya Taifa Mhimbili.
Katika salamu hizo Rais Magufuli amesema taifa limempoteza mtu shupavu, mkweli, makini na aliyependa kupigania haki pale alipoamini kuwa panastahili haki hiyo na alithibitisha kwa kupigania uanzishwaji wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA MKE WA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Jaji Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mheshimiwa Damian Zefrin Lubuva kufuatia kifo cha Mke wake, Mama Martha Peter Lubuva kilichotokea tarehe 17 Januari, 2014 katika Hospitali ya Apollo iliyoko New Delhi nchini India alikopelekwa kwa matibabu akisumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari. “Nimeshtushwa,...

 

5 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI RAIS MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MAHIGA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kufuatia kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria  Balozi Agostine Mahiga.
Balozi Mahiga alifariki nyumbani wake Mjini Dodoma baada ya kuugua hafla ambapo alipofikishwa hospitali tayari alikwishapoteza uhai na kuzikwa jana Mkoani Iringa.
Katika salamu hizo Dk. Shein alisema amepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kifo cha...

 

9 years ago

Michuzi

Salamu za Rambi rambi kufuatia Kifo cha mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita Ndugu Alphonse mawazo

Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole Makamanda wenzangu wote ikiwemo Viongozi wa Chadema Makao Makuu, Viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa, Viongozi wa Chadema Mkoa wa Geita na wapenda Mabadiliko wote Tanzania kufuatia  kifo cha Kamanda Alphonse Mawazo kilichotokea leo tarehe 14 Novemba 2015. Kwa kweli nimepokea taarifa ya kifo cha Kamanda Mawazo kwa mshtuko mkubwa hasa kutokana na mazingira ya Kifo chenyewe ambayo inasemekana ameuawa kwa kuvamiwa na kupigwa na Nondo na Mapanga na kusababisha...

 

10 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UMOJA WA AFRIKA NCHINI MAREKANI MHE AMINA SALUM ALI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na      Balozi wa Umoja wa Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: gwiji la ukombozi wa afrika kusini brigedia jenerali hashim mbita afariki dunia leo dar es salam


Habari zilizotujia hivi punde zinasema Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali kuu ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam. 
Mzee Mbita atakumbukwa Tanzania,  bara zima la Afrika na dunia kwa jumla kama kamanda mahiri aliyeshiriki kikamilifu katika uondoshaji wa utawala wa ukoloni  barani Afrika, hususan utawala kidhalimu wa makaburu  Zimbabwe na  Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani