Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UMOJA WA AFRIKA NCHINI MAREKANI MHE AMINA SALUM ALI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na      Balozi wa Umoja wa Afrika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA UMOJA WA AFRIKA AMINA SALUM ALI ATOA RAMBI RAMBI KWA KIFO CHA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA

Balozi Amina Salum Ali
Na mwandishi wako, Washington, DC
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika, Mhe. Amina Salum Ali leo ametoa salamu za rambi rambi kwa Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita aliyefariki siku ya siku ya Jumapili April 26, 2015 asubuhi na kuzikwa siku ya Jumanne April 28, 2015 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Balozi Amina Salum Ali alisema amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la...

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MAREKANI YAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI

 Wafanyakazi wa Umoja wa Afrika Washington, DC wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Amina Salum Ali, Balozi wa Afrika Union aliyemaliza muda wake siku ya Jumanne Sept 1, 2015 katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani zilizopo DC kwenye hafla fupi ya kumuaga aliyofanyiwa na Wizara hiyo. Duputy Assistant Secretary wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani  akiongea na kumwagia sifa Balozi Amina Salum Ali. Balozi Amina Salum Ali akiwashukuru Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA RWANDA NCHINI MAREKANI MHE. MATHILDA MUKANTABANA ATEMBELEA AFISI ZA UMOJA WA AFRIKA WASHINGTON, DC.


Mhe Balozi wa Rwanda Profesa Mathilda Mukantabana akiwa katika pich ya pamoja na Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali alipotembelea ofisi za Umoja wa Afrika uliopo Washington, DC nchini Marekani .Balozi Profesa Mathilda anachukua uongozi wa mikutano wa mabalozi wa Afrika katika kipindi cha mwezi April hadi July 2015 akiwakilisha kanda ya Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Mwananchi

Amina Salum Ali ampigia chapuo Dk Shein

Balozi Amina Salum Ali amesema Rais wa Zanzibar anayemaliza muda wake, Dk Ali Mohamed Shein bado anastahili kupewa nafasi ya kuongoza Wazanzibari.

 

10 years ago

GPL

MHE. AMINA SALUM ALI AMKARIBISHA ERASTUS J.O. MWENCHA, WASHINGTON DC

Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali, akipata picha ya pamoja na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, baada ya mapokezi kwa ziara yake maalum, siku ya Jumatano Feb 25, 2015 ndani ya  Washington Dulles International Airport.( Picha na swahilivilla.blogspot.com) . Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Amina Salum Ali amkaribisha Erastus J. O. Mwencha, Washington DC

Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali. akiwa na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika pamoja na Shamis Alkhatry baada ya mapokezi kwa ziara yake maalum, siku ya Jumatano Feb 25, 2015 ndani ya  Washington Dulles International Airport.Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali, Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali. akuwa na Bw. Erastus Mwencha, pamoja na Cheif wa swahilivilla...

 

10 years ago

BBCSwahili

Historia ya Balozi Amina Salum Ali wa CCM

Chama tawala nchini Tanzania CCM kimemteua bi Amina Salum Ali kuwa mgombea mwenza wa daktari John Pombe Magufuli

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI AMINA SALUM ALI ATANGAZA KUWANIA URAIS


BALOZI wa kudumu wa Umoja wa Afrika (AU), huko Marekani, Mtanzania Amina Salum Ali, (Pichani) akitangazaleo Jumatano Mei 20, 2015, pale kwenye mgahawa wa Hadees jirani na askari monument, kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Balozi Amina ametangaza uamuzi wake huo mapema leo hapa hapa jijini Dar es Salaam.Itakumbukwa ya kuwa Balozi Amina ambaye alidumu kwa muda mrefu kama waziri kwenye serikali ya Rais mstaafu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani