Historia ya Balozi Amina Salum Ali wa CCM
Chama tawala nchini Tanzania CCM kimemteua bi Amina Salum Ali kuwa mgombea mwenza wa daktari John Pombe Magufuli
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu
Mwanadiplomasia Amina Salum Ali alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 21 jijini Dar es Salaam.
10 years ago
VijimamboHotuba Ya Balozi Amina Salum Ali Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015
Hotuba ya Mhe Balozi Amina Salum Ali akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose Migiro
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose Migiro
10 years ago
MichuziBalozi Amina Salum Ali azungumzia matarajio yake endapo atapitishwa na CCM kuwania urais wa Tanzania
Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini Zanzibar. Balozi Amina Salum Ali katikati akifafanua jambo alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini Zanzibar.kushoto yake ni Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo...
10 years ago
VijimamboBALOZI AMINA SALUM ALI ATANGAZA KUWANIA URAIS
BALOZI wa kudumu wa Umoja wa Afrika (AU), huko Marekani, Mtanzania Amina Salum Ali, (Pichani) akitangazaleo Jumatano Mei 20, 2015, pale kwenye mgahawa wa Hadees jirani na askari monument, kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Balozi Amina ametangaza uamuzi wake huo mapema leo hapa hapa jijini Dar es Salaam.Itakumbukwa ya kuwa Balozi Amina ambaye alidumu kwa muda mrefu kama waziri kwenye serikali ya Rais mstaafu wa...
9 years ago
VijimamboAFRICA UNION WAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI, WASHINGTON, DC
Blaozi wa Umoja wa Afrika Mhe. Amina Salum Ali akiwahutubia wafanyakazi na wageni waalikwa waliofika kwenye ghafla ya kuagwa kwake iliyofanyika siku ya Jumatatu, Aug 31, 2015 Washington, DC. Diaspora wakipata picha ya kumbukumbu na Balozi Amina Salum Ali. Mhe. Tete Antoni Balozi wa Umoja wa Afrika New York akitoa hotuba yake ya kumuaga Balozi Amina Salum Ali ambaye amemaliza muda wake kama Balozi wa Umoja wa Afrika Washington, DC.Picha ya pamoja
Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Afrika...
Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Afrika...
9 years ago
VijimamboDIASPORA YA MONTGOMERY COUNTY YAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI
Bwn. Daniel Korona akisherehesha hafla futi ya kumuaga Balozi wa Umoja wa Afrika aliyemaliza muda wake Mhe. Amina Salum Ali iliyoandaliwa na Jumuiya ya Diaspora kutoka Afrika wanaoishi Montgomery county iliyofanyika siku ya Jumatano Sept 2, 2015 Silver Spring, Maryland.Kulia ni mwongozaji maswali Bi. Soffie Ceesay ambaye ni mwanachama mwanzilishi wa Montgomery County's African Affairs Advisory Group na African Immigrant Caucus akimuuliza Mhe. Amina Salum Ali maswali mbalimbali likiwemo nini...
10 years ago
VijimamboBALOZI AMINA SALUM ALI AHUTUBIA MKUTANO WA AFRICANA CONFERENCE MASSACHUSETTS
Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali (pichani) akihutubia katika mkutano wa Africana conference ' unaofanywa kila mwaka na TUFTS University (Fletcher college) .Hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo uliobeba ujumbe wa 'Africa in the global Arena'.Balozi Amina S alum Ali alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huu tarehe 20 mwezi wa Februari 2015 huko Boston Massachussets.
katika hotuba yake alichukua nafasi kuzungumzia masuala ya Afrika na umuhimu wa bara la Afrika kuwa...
katika hotuba yake alichukua nafasi kuzungumzia masuala ya Afrika na umuhimu wa bara la Afrika kuwa...
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu
Mwanadiplomasia Amina Salum Ali alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 21 jijini Dar es Salaam.
9 years ago
VijimamboWIZARA YA MAMBO YA NJE YA MAREKANI YAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI
Wafanyakazi wa Umoja wa Afrika Washington, DC wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Amina Salum Ali, Balozi wa Afrika Union aliyemaliza muda wake siku ya Jumanne Sept 1, 2015 katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani zilizopo DC kwenye hafla fupi ya kumuaga aliyofanyiwa na Wizara hiyo. Duputy Assistant Secretary wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani akiongea na kumwagia sifa Balozi Amina Salum Ali. Balozi Amina Salum Ali akiwashukuru Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania