Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


URAIS CCM: Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu

Mwanadiplomasia Amina Salum Ali alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 21 jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu

Mwanadiplomasia Amina Salum Ali alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 21 jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Amina Salum Ali azungumzia matarajio yake endapo atapitishwa na CCM kuwania urais wa Tanzania

 Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini Zanzibar. Balozi Amina Salum Ali katikati akifafanua jambo alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini Zanzibar.kushoto yake ni Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI AMINA SALUM ALI ATANGAZA KUWANIA URAIS


BALOZI wa kudumu wa Umoja wa Afrika (AU), huko Marekani, Mtanzania Amina Salum Ali, (Pichani) akitangazaleo Jumatano Mei 20, 2015, pale kwenye mgahawa wa Hadees jirani na askari monument, kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Balozi Amina ametangaza uamuzi wake huo mapema leo hapa hapa jijini Dar es Salaam.Itakumbukwa ya kuwa Balozi Amina ambaye alidumu kwa muda mrefu kama waziri kwenye serikali ya Rais mstaafu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Historia ya Balozi Amina Salum Ali wa CCM

Chama tawala nchini Tanzania CCM kimemteua bi Amina Salum Ali kuwa mgombea mwenza wa daktari John Pombe Magufuli

 

10 years ago

Mtanzania

Amina Salum Ali ajitosa urais CCM

Amina Salum AliNa Esther Mbussi, Dar es Salaam
MBIO za kuwani urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeanza kushika kasi,baada ya mwanasiasa mkongwe Amina Salum Ali kutangaza rasmi kugombea urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba,mwaka huu.
Amina ambaye alikuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU), nchini Marekani anakuwa mwana CCM na mwanamke wa kwanza kutangaza azma yake hadharani.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Amina alitoa vipaumbele vyake...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Balozi Amina Salum Ali kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifafanua jambo ndani ya Kilimanjaro StudioKipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali
Karibu

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Balozi Amina Salum Ali Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba ya Mhe Balozi Amina Salum Ali akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose Migiro

 

10 years ago

Michuzi

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM ULIVYOYEYUKA NA KUHUDHURIWA NA MGOMBEA MMOJA AMINA SALUM ALI

 viti vikiwa tupu baada ya kuahirishwa kwa mdahalo huo. Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali (kulia), akizungumza na wadau mbalimbali waliofika kwa lengo la kuwasikiliza wagombea hao ambao hawakufika.Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali, akitoka ukumbini katika Hoteli ya Hyatt Recency Kilimanjaro baada ya kuahirishwa kwa Mdahalo wa waliotangaza nia ya kugombea urais kupitia chama hicho kushindwa kuhudhuria Dar es Salaam...

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO ya mahojiano na Balozi Amina Salum Ali kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

balozi Amina

Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifafanua jambo ndani ya Kilimanjaro Studio.

Kipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015

Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania

Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali

Karibu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani