MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM ULIVYOYEYUKA NA KUHUDHURIWA NA MGOMBEA MMOJA AMINA SALUM ALI
viti vikiwa tupu baada ya kuahirishwa kwa mdahalo huo.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali (kulia), akizungumza na wadau mbalimbali waliofika kwa lengo la kuwasikiliza wagombea hao ambao hawakufika.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali, akitoka ukumbini katika Hoteli ya Hyatt Recency Kilimanjaro baada ya kuahirishwa kwa Mdahalo wa waliotangaza nia ya kugombea urais kupitia chama hicho kushindwa kuhudhuria Dar es Salaam...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM ULIVYOYEYUKA
10 years ago
Mtanzania21 May
Amina Salum Ali ajitosa urais CCM
Na Esther Mbussi, Dar es Salaam
MBIO za kuwani urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeanza kushika kasi,baada ya mwanasiasa mkongwe Amina Salum Ali kutangaza rasmi kugombea urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba,mwaka huu.
Amina ambaye alikuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU), nchini Marekani anakuwa mwana CCM na mwanamke wa kwanza kutangaza azma yake hadharani.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Amina alitoa vipaumbele vyake...
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sZX9SCxkI0Y/VZqFINMtwrI/AAAAAAADVXg/WxYPG_i8zEs/s72-c/am1.jpg)
Balozi Amina Salum Ali azungumzia matarajio yake endapo atapitishwa na CCM kuwania urais wa Tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-sZX9SCxkI0Y/VZqFINMtwrI/AAAAAAADVXg/WxYPG_i8zEs/s640/am1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NR2vatpdWx4/VZqFGr1y-MI/AAAAAAADVXU/0z7eZpiU6KM/s640/am2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wdLXfrsULNw/VaC5nOnPysI/AAAAAAAHomM/-FUoRHWQLdg/s72-c/MMGL0620.jpg)
UPDATES KUTOKA DODOMA ASUBIHI HII: TANO BORA YA WAGOMBEA URAIS WA CCM NI MEMBE, MAGUFULI, MIGIRO,MAKAMBA NA BALOZI AMINA SALUM
![](http://3.bp.blogspot.com/-wdLXfrsULNw/VaC5nOnPysI/AAAAAAAHomM/-FUoRHWQLdg/s640/MMGL0620.jpg)
10 years ago
VijimamboMGOMBEA NAFASI YA URAIS KUPITIA CCM, BALOZI AMINA ALI SALIM AZUNGUMZA NA WANAHABARI ZANZIBAR
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-uroaeHEvAWw/VVyV2IoPcMI/AAAAAAAAT1I/tcbNUFjpdKU/s72-c/Amina%2BSalum%2BAli.jpg)
BALOZI AMINA SALUM ALI ATANGAZA KUWANIA URAIS
![](http://3.bp.blogspot.com/-uroaeHEvAWw/VVyV2IoPcMI/AAAAAAAAT1I/tcbNUFjpdKU/s640/Amina%2BSalum%2BAli.jpg)
Balozi Amina ametangaza uamuzi wake huo mapema leo hapa hapa jijini Dar es Salaam.Itakumbukwa ya kuwa Balozi Amina ambaye alidumu kwa muda mrefu kama waziri kwenye serikali ya Rais mstaafu wa...
10 years ago
BBCSwahili12 Jul
Historia ya Balozi Amina Salum Ali wa CCM
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-jS1MAW06Oco/VaKFHi8hg7I/AAAAAAAAI54/PymvAqkgdsM/s72-c/Untitled.jpg)
Hotuba Ya Balozi Amina Salum Ali Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-jS1MAW06Oco/VaKFHi8hg7I/AAAAAAAAI54/PymvAqkgdsM/s640/Untitled.jpg)
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose Migiro
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10