Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUDIO ya mahojiano na Balozi Amina Salum Ali kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

balozi Amina

Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifafanua jambo ndani ya Kilimanjaro Studio.

Kipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015

Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania

Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali

Karibu

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Balozi Amina Salum Ali kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifafanua jambo ndani ya Kilimanjaro StudioKipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali
Karibu

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Balozi Liberata Mulamula kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

 Balozi Liberata Mulamula akiwasili nje ya jengo lenye studio ya Kilimanjaro tayari kuongea LIVE katika kipindi cha Jukwaa langu kinachorushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2 usiku saa za Mashariki za Marekanui. anayemfungulia mlango ni Abdul Malik

 Balozi Liberata Mulamula akiendelea kujibu maswali ya watangazaji mahiri Mubelwa Bandio (kulia) na Rose Chitalah (hayupo pichani ) na wasikilizaji waliokua na shahuku ya kumuuliza maswali.  Balozi Liberata Mulamula...

 

9 years ago

Dewji Blog

Audio ya Kipindi cha Jukwaa Langu

Photo Credits: dw.com/sw

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015

Na leo, tulizungumzia Tanzania baada ya Uchaguzi wa Oktoba 25, 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI AMINA SALUM ALI AENDELEA KUJINADI, AFANYA MAHOJIANO 360 YA CLOUDS NA WANAWAKE LIVE

Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe.Amina Salum Ali akifanyiwa mahojiano na Hudson Kamoga katika kipindi cha 360 cha Clouds TV kinachokua hewani kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 mpaka saa 3 asubuhi. Balozi Amina Salum Ali ndiye mgombea mwanamke pekee aliyetangaza nia ya kuwania urais kupitia tiketi ya CCM.Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe.Amina Salum Ali akijinadi katika mahojiano aliyofanyiwa na mtangazaji Hudson Kamoga (hayupo pichani)...

 

9 years ago

Michuzi

Mahojiano na Liberatus Mwang'ombe katika kipindi cha JUKWAA LANGU

Liberatus Mwang'ombe katika moja ya mikutano yake jimboni MbaraliKatika kipindi cha JUKWAA LANGU wiki hii tulipata fursa kuongea na aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Mbarali kupitia CHADEMA Liberatus Mwang'ombe ambaye ameeleza mengi kuhusu uchaguzi ulivyokuwa, aliyojifunza, analotaka kufanya kuhusu matokeo na hata kwa wana-diaspora wengine wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali Tanzania

 

9 years ago

Vijimambo

[AUDIO]: Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 14 2015

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hii ni sehemu ya pili ya kipindi kilichosikika Septemba 14, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Jonathan Samiya na Nyakia, ambaye ni mmoja wa wakuu wa Itifaki wa kampeni za Dr Magufuli
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, Clare Ng'owo, Ali Badawy na Shamis Abdulla
Kwenye line tulikuwa na Jeff Msangi, Dr Patrick Nhigula na Arthur

 

9 years ago

Michuzi

[AUDIO]: Kipindi cha Jukwaa Langu Nov 9 2015

Katika kipindi cha JUKWAA LANGU tulipata fursa kumhoji aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Mbarali kupitia CHADEMA Liberatus Mwang'ombe.Pia, tuliangalia (mbali na mambo mengine), mwanzo wa awamu ya tano ya utawala wa Tanzania, na matarajio ya wengine.Tunaizungumzia TANZANIA ya sasa na ile ijayo....hasa tutakayo.Tuambie.......1: Je! Ni lipi unalokumbuka zaidi kuhusu uongozi wa Rais Jakaya Kikwete?2: Unazungumziaje namna Rais Magufuli alivyoanza wiki ya kwanza ofisini?Na ninj ungependa viwe...

 

9 years ago

Michuzi

Mahojiano na DC Paul Makonda katika kipindi cha JUKWAA LANGU Dec 7 2015

Kipindi cha JUKWAA LANGU hukujia kila Jumatatu kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki kuijadili Tanzania ya sasa na ile tuitakayoKatika kipindi hiki, tumeungana na Mhe Paul Makonda. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jiji Dar Es Salaam ambaye mbali na mambo mengine, ameeleza "ya moyoni" kuhusu tofauti iliyopo kati ya utendaji wa Rais wa awamu ya nne Mhe Jakaya Kikwete (aliyemteua katika wadhifa huo) na Rais wa sasa Dk John Magufuli. Kabla ya hapo aligusia namna alivyoteuliwa kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu

Mwanadiplomasia Amina Salum Ali alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 21 jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani