Salamu za Rambi rambi kufuatia Kifo cha mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita Ndugu Alphonse mawazo
![](http://1.bp.blogspot.com/-YAtBRN9Rqbg/Vklb9yKD1FI/AAAAAAAIGFw/m8d36HDQ1Ps/s72-c/download.png)
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole Makamanda wenzangu wote ikiwemo Viongozi wa Chadema Makao Makuu, Viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa, Viongozi wa Chadema Mkoa wa Geita na wapenda Mabadiliko wote Tanzania kufuatia kifo cha Kamanda Alphonse Mawazo kilichotokea leo tarehe 14 Novemba 2015. Kwa kweli nimepokea taarifa ya kifo cha Kamanda Mawazo kwa mshtuko mkubwa hasa kutokana na mazingira ya Kifo chenyewe ambayo inasemekana ameuawa kwa kuvamiwa na kupigwa na Nondo na Mapanga na kusababisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wCHZhJTRbPI/VkhRSl8IZDI/AAAAAAAIF6E/9lEiEbWlSns/s72-c/MAWAZO1-page-001.jpg)
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-MPkHe1xMzSY/VkelXV4eL2I/AAAAAAAAXHY/D55vXMI9AIk/s72-c/MAWAZO1-page-001.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1TxjyclNmzt*zl72rtuJ-bWdIeTeYjCKCKCQb3jUvriWtZYt6cf5VZ-VLauQAyoB3FV-I3BgIJBkUFMnOf3Uhte4ckm*GBlL/IKULU.png?width=650)
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA MKE WA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LDRHNssOdPU/VlL_0MSOXHI/AAAAAAAIH-E/VHcc-oRU5_w/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA Mwenyekiti wa Chama Cha Madereva Tanzania (TADWU)
![](http://1.bp.blogspot.com/-LDRHNssOdPU/VlL_0MSOXHI/AAAAAAAIH-E/VHcc-oRU5_w/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
Katika salamu hizo Rais Magufuli amesema taifa limempoteza mtu shupavu, mkweli, makini na aliyependa kupigania haki pale alipoamini kuwa panastahili haki hiyo na alithibitisha kwa kupigania uanzishwaji wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-a61NWldA4SM/Xq6NU05kGaI/AAAAAAALo44/5JuL3ZaBZWk0ipmbX0Xpk4vgoRBeJ6tagCLcBGAsYHQ/s72-c/DK%2BSHEIN.jpg)
DKT SHEIN AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI RAIS MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MAHIGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-a61NWldA4SM/Xq6NU05kGaI/AAAAAAALo44/5JuL3ZaBZWk0ipmbX0Xpk4vgoRBeJ6tagCLcBGAsYHQ/s640/DK%2BSHEIN.jpg)
Balozi Mahiga alifariki nyumbani wake Mjini Dodoma baada ya kuugua hafla ambapo alipofikishwa hospitali tayari alikwishapoteza uhai na kuzikwa jana Mkoani Iringa.
Katika salamu hizo Dk. Shein alisema amepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kifo cha...
11 years ago
Michuzi02 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5cQmLYZJXp8/VARp3HoLi_I/AAAAAAAGZ0Y/Pk8ftvnT0PE/s72-c/New%2BPicture.png)
JK ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA MKUU WA MKOA WA MBEYA KUFUATIA AJALI MBAYA ILIYOTOEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-5cQmLYZJXp8/VARp3HoLi_I/AAAAAAAGZ0Y/Pk8ftvnT0PE/s1600/New%2BPicture.png)
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mheshimiwa...
9 years ago
Michuzi19 Oct
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBI LAMBI KUFUATIA KIFO CHA FILIKUNJOMBE
Katika salamu zake za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Anna Semamba Makinda, Rais Kikwete...