WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AMWAKILISHA RAIS KIKIWETE KWENYE MKUTANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI -NAIROBI
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akishiriki katika Mkutano wa tano wa wa Nchi za Jumui ya Afrika Mashariki wa tano wa ushirikiano wa miradi ya maendeleo ya ukanda wa kaskzin (5th Summit of the Northern Corridor Intergration Projects)Uliofanyika kwenye hoteli ya Safari Park mjini Nairobi Mai 2, 2014.Viongozi waliohudhria mkutano huo ni Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto, Makamu wa Rais wa Burundi, Rais wa Rwanda Paul Kagame, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Rais wa Uganda Yoweri...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AWASILI JIJINI NAIROBI KUMWAKILISHA RAIS KIKWETE KWENYE MKUTANO WA MAZIWA MAKUU
10 years ago
Dewji Blog20 Oct
Waziri Mkuu Pinda amwakilisha Rais Kikwete kwenye mjadala wa uwekezaji Afrika- London
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 20/10/14.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallage Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji ...
10 years ago
Michuzi11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGA MKUTANO WA KUHUSU KUWALINDA TEMBO AFRIKA
10 years ago
MichuziWaziri Nagu amwakilisha Rais Kikwete kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Asia na Afrika, Jakarta,Indonesia
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda kufungua mkutano wa kikanda juu ya ukuaji na maisha ya baadae ya miji ya Afrika
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda (Mb).
Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) imeandaa mkutano wa kikanda utakaokutanisha viongozi na watunga sera kutoka nchi za Afrika mashariki kuzungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadaye ya miji ya Afrika.
Mkutano huu uliopewa jina la, ‘Maisha ya baadae ya nchi za Afrika Mashariki: Jinsi gani tunataka kuishi mwaka 2050’, utafanyika katika hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam,...
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA 16 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI NAIROBI,KENYA, KATIKA PICHA
10 years ago
MichuziWaziri Membe amwakilisha Rais Kikwete kwenye hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO