Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lwakatare aibuka, amponda Nchemba wa CCM

Mkurugenzi wa Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare, amemwelezea Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba kuwa mmoja wa watu wasiojua mahesabu kutokana na kauli yake kwamba chama hicho kinatumia fedha za ufisadi kuruka anga kwa anga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WILFRED LWAKATARE WA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA UBUNGE BUKOBA MJINI


Hatimaye Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema Bw. Wilfred Lwakatare ameibuka kidedea leo hii kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini akiibuka kidedea dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki. Matokeo hayo yametanga usiku huu punde na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini Bw. Aron T. Kagurumjuli. Kura za Udiwani Chadema/ Ukawa imeshinda Kata zifuatazo: Kahororo, Kagondo, Kibeta, Kitendaguro, Nshambya, Hamugebe,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM amponda rais

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameipinga hotuba ya Rais Kikwete kwa madai kuwa imejaa vitisho na kujibu hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba....

 

10 years ago

TheCitizen

Wasira, Nchemba join the battle as CCM’s list grows

Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives Stephen Wasira and Finance deputy minister Mwigulu Nchemba said at different venues that they were eying the top post to serve Tanzanians and improve their lives.

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA UNAIBU KATIBU MKUU WA CCM


Mwigulu Nchemba amejiuzulu nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu CCM ili kupisha agombee Urais na akishindwa atarudia nafasi ikimpendeza M/kit.Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM iliyokuwa imashikiliwa na Mwigulu Nchemba imechukuliwa na ndugu Rajab Luwavi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamtaka Katibu wa CCM kuacha kumbeba kwa mbeleko Mwigulu Nchemba

DAVD JAIRO

Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida David Jairo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), juu ya madai yao ya kugomea kuendelea na mchakato wa kura za maoni hadi msimamizi wa uchaguzi ambae ni Katibu wa CCM Wilaya ya Iramba, Mathias Shidagisha aondolewe kwenye zoezi hilo, kushoto ni Amon Gyunda.

KILIMBA

Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida, Juma Killimbah, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye ofisi za chama cha...

 

10 years ago

Michuzi

CHOPA YA CCM YATUA MANYARA,MWIGULU NCHEMBA AENDELEA KUKUSANYA NYOMI

Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.Sehemu ya Wananchi wa Karatu Mjini waliofika Uwanjawa Mazingira Bora kusikiliza Mkutano wa hadhara wa Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akitoa darasa kwa Wananchi wa karatu kuhusu biashara ya Kumuacha Dr.slaa na kumpatia Edward Lowassa aliyehamia kutoka CCM.Dr.slaa...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WA MWIGULU NCHEMBA WATUA MAJIMBO 5 YA MOROGORO,HAKIKA MORO NI NGOME YA CCM

 Mamia ya Wananchi wa Kata ya Dumila Jimbo la Kilosa wakisikiliza sera za Mwigulu Nchemba alipokuwa akiinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi hii leo."Wananchi wa Dumila,Mchagueni Mbunge huyu wa CCM,Ni Mchapa kazi na ameshaanza kufanya kazi za maendeleo hata bila kuwa Mbuge,Hakikisheni anashinda kwa kishindo iliakaungane na timu ya kazi ya Magufuli"Mwigulu akizungumza Dumila.Mwigulu Nchemba akiondoka viwanja vya Mkutano Kata ya Dumila.Mwigulu Nchemba akiwasili kata ya Kilombero Jimbo la Mikumi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani