Phidesia Mwakilima aibuka kidedea uchaguzi wa Ubunge wa viti maalum kupitia tiketi ya Jumuiya ya Wazazi CCM
Mwanadada Phidesia Mwakilima.
Na Woinde Shizza, wa libeneke la kaskazini blog
Mkurugenzi wa kampuni ya Phide Entertainment ambaye pia ni Meneja masoko wa kituo cha redio Triple A ya Arusha, Phidesia Mwakilima, ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa mbunge viti maalum kupitia Jumuiya ya wazazi (UWT) Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha.
Phidesia Mwakilima, amepata kura 18 na kuwashinda, Aimbora Nnko, aliyepata kura 6, Angela Mwanri kura 4 na Anna John kura 2 ,uchaguzi huo umefanyika ukumbi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboUWT YAANZA VIKAO VYA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE VITI MAALUM KUPITIA CCM
10 years ago
VijimamboMsanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM
Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM
-Amepata kura 38 huku mpinzani wake akipata kura 34Tarime Mjini na Tarime Vijijini zoezi la kupiga kura limeahirishwaKumetokea vurugu kwenye mchakato wa kura za maoni CCM hapa Tarime, kwani zimekutwa karatasi za kupigia kura zaidi ya 25000 zikiwa zimeshatikiwa majina ya wagombea wawili MH GAUDENSIA KABAKA (TARIME MJINI) na NYAMBARI NYANGW'INE (TARIME VIJIJINI).Kutokana na...
10 years ago
Dewji Blog01 Aug
Mshindi wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, ampongeza msimamizi wa uchaguzi, Dk.Kone
9 years ago
Michuzi14 Aug
10 years ago
Michuzi27 Jul
PHIDESIA MBUNGE VITI MAALUM AWATAKA WANANCHI WASIRUBUNIWE
10 years ago
Dewji Blog04 Aug
UVCCM Singida yamchagua msomi Fancy Nkuhi Ubunge Viti maalum kupitia vijana
Fancy Nkuhi ambaye ameshinda katika nafasi ya Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Viti maalum kupitia vijana katika Mkoa wa Singida.
KATIBU wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhan Kapeto akizungumza kwenye mkutano mkuu wa UVCCM wa uchaguzi wa nafasi ya mgombea Ubunge wa viti maalumu kupitia vijana jana mkutano huo ulimchagua Fancy Nkuhi kuwa mwakilishi wao kwa kupata kura 21 dhidi ya 8 za Jamila Kitila.
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Singida, Labia Lissu akizungumza kwenye mkutano huo, kulia n mchumi wa...
10 years ago
Bongo Movies26 Jul
Ubunge Viti Maalum CCM Waibua Mapya Singida
Kinyang’anyiro cha ubunge wa viti maalum katika mkoa wa Singida kimeibua mapya, baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Ikungi, Christina Hamis, kutishia kususia kuingia kwenye ofisi za jumuiya hiyo na kuhama chama.
Mwenyekiti huyo anakusudia kuchukua uamuzi huo kwa madai kuwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Aluu Segamba, anamlazimisha amuunge mkono mgombea ubunge wa Viti Maalumu (CCM), Wema Sepetu.
Christina alisema pamoja na kwamba yeye ni...
9 years ago
Bongo Movies13 Aug
Irene Uwoya Apitishwa na CCM Kuwa Mbunge Viti Maalum Kupitia Tabora
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya apitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC )kuwa mbunge viti maalum vijana mkoa wa Tabora.
Wengine waliopitishwa ni namba 1. Halima Bulembo 2. Zainab Katimba 3. Mariam Ditopile 4. Mary Kangoye 5. Kizigo 6. Irene Uwoya.
Hongera sana Uwoya.
Cloudsfm.com
10 years ago
Dewji Blog26 Jul
Mlezi wa Jumuiya ya wazazi CCM Bayi, ajitosa kuwania ubunge
Mlezi wa Jumuiya ya wazazi wa CCM wilaya ya Bahi, Hebron Kipiko (Mr.Kipiko) katika picha
Mlezi wa Jumuiya ya wazazi wa CCM wilaya ya bahi Hebron Kipiko (Mr.Kipiko) ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Bahi lililopo mkoani Dodoma na kusema kuwa anaamini anauwezo wa kutekeleza kero na matatizo mbalimbali ya nao wakabili wananachi wa jimbo hilo.
Akizungumza na Libeneke la kaskazini blog , amesema kuwa ameona mambo mengi na matatizo mengi yanayo wakabili wananchi wa jimbo...