Mshindi wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, ampongeza msimamizi wa uchaguzi, Dk.Kone
Mshindi wa kwanza wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, Aysharose Ndogholi Mattembe, akiwashukuru wapiga kura 318 (hawapo kwenye picha). Aysharose ambaye ni Mkurugenzi wa shule ya British Zanzibar ya Kisauni Zanzibar, alipata ushindi huo mnono baada ya kuwabwaga wapinzani wake 13 kwenye uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa katoliki mjini hapa. Mshindi wa kwanza wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, Aysharose Ndogholi Mattembe (kulia)...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
Safari ya Wema Sepetu imeiva, ubunge viti maalum mkoa wa Singida
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, (kushoto) akipokea fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu wa UWT wilaya ya Ikungi, Yagi Kiaratu.
Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu alipokuwa akijiandaa kulipa ada ya uchukuzi wa fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida leo (17/7/2015).Kulia ni katibu UWT wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, akitoka ndani ya ofisi ya CCM wilaya ya Ikungi baada ya kukabidhiwa fomu za kuwania ubunge viti...
10 years ago
Bongo Movies26 Jul
Ubunge Viti Maalum CCM Waibua Mapya Singida
Kinyang’anyiro cha ubunge wa viti maalum katika mkoa wa Singida kimeibua mapya, baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Ikungi, Christina Hamis, kutishia kususia kuingia kwenye ofisi za jumuiya hiyo na kuhama chama.
Mwenyekiti huyo anakusudia kuchukua uamuzi huo kwa madai kuwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Aluu Segamba, anamlazimisha amuunge mkono mgombea ubunge wa Viti Maalumu (CCM), Wema Sepetu.
Christina alisema pamoja na kwamba yeye ni...
9 years ago
Michuzi14 Aug
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Phidesia Mwakilima aibuka kidedea uchaguzi wa Ubunge wa viti maalum kupitia tiketi ya Jumuiya ya Wazazi CCM
Mwanadada Phidesia Mwakilima.
Na Woinde Shizza, wa libeneke la kaskazini blog
Mkurugenzi wa kampuni ya Phide Entertainment ambaye pia ni Meneja masoko wa kituo cha redio Triple A ya Arusha, Phidesia Mwakilima, ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa mbunge viti maalum kupitia Jumuiya ya wazazi (UWT) Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha.
Phidesia Mwakilima, amepata kura 18 na kuwashinda, Aimbora Nnko, aliyepata kura 6, Angela Mwanri kura 4 na Anna John kura 2 ,uchaguzi huo umefanyika ukumbi wa...
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Mlata ashiriki zoezi la usafi Manispaa ya Singida
10 years ago
Bongo Movies18 Jun
Ubunge Viti Maalum, Wema Sepetu Atua Singida
STAA wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Singida.
Wema tayari ametua mkoani Singida akiambatana na mama yake kwa ajili ya zoezi hilo ambapo amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wake.
Cloudsfm.com
10 years ago
VijimamboWEMA SEPETU KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA
Wema Sepetu akiwa na mama yake
Mashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe: Nina wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliekuwa nao kwa madame. Naomba tumsuport kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari tumsuport madame wetu? Naomba mnipe jibu. wazo...
10 years ago
GPLWEMA SEPETU ATANGAZA NIA, KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Wema Sepetu aanza safari ya kuwania Ubunge wa Viti maalum Singida
Tanzania 2006 na Msanii wa Bongo Movie,Bi Wema Sepetu akipokea maelekezo kutoka kwa katibu wa CCM wilaya ya Ikungi,Bwana Alluu Ismaili Segamba kabla ya kuongea na wananhi pamoja na wanachama waliohudhuria kwenye mkutano huo. (Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly,Ikungi
Hatimaye aliyewahi kuwa, Miss Tanzania 2006 na Msanii wa Bongo Movie,Wema Spetu ameanza safari maalum ya kuwania nafasi ya Ubunge kupitia chama cha Mapinduzi Mkoani Singida, ambapo ni chimbuko la Mama yake...