Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA SEPETU KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA

Wema Sepetu huenda akaingia kwenye siasa kwa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Wema Sepetu akiwa na mama yake
Mashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe: Nina wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliekuwa nao kwa madame. Naomba tumsuport kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari tumsuport madame wetu? Naomba mnipe jibu. wazo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA SEPETU ATANGAZA NIA, KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA

Wema Sepetu akiwa na mama yake mzazi mkoani Singida. STAA wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Singida. Wema tayari ametua mkoani Singida akiambatana na mama yake kwa ajili ya zoezi hilo ambapo amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wake. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wema Sepetu aanza safari ya kuwania Ubunge wa Viti maalum Singida

Wema

Tanzania 2006 na Msanii wa Bongo Movie,Bi Wema Sepetu akipokea maelekezo kutoka kwa katibu wa CCM wilaya ya Ikungi,Bwana Alluu Ismaili Segamba kabla ya kuongea na wananhi pamoja na wanachama waliohudhuria kwenye mkutano huo. (Picha zote na Jumbe Ismailly).

Na Jumbe Ismailly,Ikungi     

Hatimaye aliyewahi kuwa, Miss Tanzania 2006 na Msanii wa Bongo Movie,Wema Spetu ameanza safari maalum ya kuwania nafasi ya Ubunge kupitia chama cha Mapinduzi Mkoani Singida, ambapo ni chimbuko la Mama yake...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubunge Viti Maalum, Wema Sepetu Atua Singida

STAA wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Singida.

Wema tayari ametua mkoani Singida akiambatana na mama yake kwa ajili ya zoezi hilo ambapo amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wake.

Cloudsfm.com

 

10 years ago

Dewji Blog

Safari ya Wema Sepetu imeiva, ubunge viti maalum mkoa wa Singida

DSC00396

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, (kushoto) akipokea fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu wa UWT wilaya ya Ikungi, Yagi Kiaratu.

DSC00401

DSC00393

Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu alipokuwa akijiandaa kulipa ada ya uchukuzi wa fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida leo (17/7/2015).Kulia ni katibu UWT wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

DSC00403

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, akitoka ndani ya ofisi ya CCM wilaya ya Ikungi baada ya kukabidhiwa fomu za kuwania ubunge viti...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo Movies

Ubunge Viti Maalum CCM Waibua Mapya Singida

Kinyang’anyiro cha ubunge wa viti maalum katika mkoa wa Singida  kimeibua mapya, baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Ikungi, Christina Hamis, kutishia kususia kuingia kwenye ofisi za jumuiya hiyo na kuhama chama.


Mwenyekiti huyo anakusudia kuchukua uamuzi huo kwa madai kuwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Aluu Segamba, anamlazimisha amuunge mkono mgombea ubunge wa Viti Maalumu (CCM), Wema Sepetu.
Christina alisema pamoja na kwamba yeye ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Catherine Magige sasa kuwania ubunge viti maalum UWT mkoa wa Arusha

unnamed

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed (1)

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi katibu wa (UWT) mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea...

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII WA KIZAZI KIPYA KEISHA AJITOSA KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM DODOMA,SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA


Repost @kshertzbongoflava Habari za asubuhi ndugu zangu rafiki zangu mashabiki zangu na media zote nchini.najua wengi mnajiuliza maswali mengi sana juu yangu kwanini nimeamua kuingia kwenye siasa lakini leo naomba nifunguke na kuwaambia kitu.mimi kama mlemavu wa ngozi najikubali najipenda na ninajiamini lakini yote tisa napigana kwa uhuru na amani ambayo tunastahili kuipata kutoka nchini kwetu.nilipoanza kupost picha zangu za siasa kuna ambao walinipongeza na kuna ambao walinisema kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani