Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII WA KIZAZI KIPYA KEISHA AJITOSA KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM DODOMA,SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA


Repost @kshertzbongoflava Habari za asubuhi ndugu zangu rafiki zangu mashabiki zangu na media zote nchini.najua wengi mnajiuliza maswali mengi sana juu yangu kwanini nimeamua kuingia kwenye siasa lakini leo naomba nifunguke na kuwaambia kitu.mimi kama mlemavu wa ngozi najikubali najipenda na ninajiamini lakini yote tisa napigana kwa uhuru na amani ambayo tunastahili kuipata kutoka nchini kwetu.nilipoanza kupost picha zangu za siasa kuna ambao walinipongeza na kuna ambao walinisema kwamba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UBUNGE VITI MAALUM VIJANA BUKOBA;ANTU MANDOZA AJITOSA KUCHUKUA FOMU

Mgombea Ubunge Viti Maalum Vijana Bukoba Bi. Antu Mandoza(Kulia) akirejesha Fomu ya Kuomba Ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge wa Viti maalum Vijana Bukoba katika ofisi za umoja huo Mjini Bukoba, ahaidi kuinua Vijana Kiuchumi endapo atapata nafasi ya kuwa Mbunge wa Vijana.(Habari Picha na Faustine Ruta/bukobasports).Mcheza kwao hutunzwa, Vijana wazidi kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za Uongozi. Binti Antu Mandoza mwenye kuonekana kuwa na umri miaka 22-25 Amerudisha Fomu za kuwania...

 

10 years ago

Vijimambo

WEMA SEPETU KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA

Wema Sepetu huenda akaingia kwenye siasa kwa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Wema Sepetu akiwa na mama yake
Mashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe: Nina wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliekuwa nao kwa madame. Naomba tumsuport kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari tumsuport madame wetu? Naomba mnipe jibu. wazo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wema Sepetu aanza safari ya kuwania Ubunge wa Viti maalum Singida

Wema

Tanzania 2006 na Msanii wa Bongo Movie,Bi Wema Sepetu akipokea maelekezo kutoka kwa katibu wa CCM wilaya ya Ikungi,Bwana Alluu Ismaili Segamba kabla ya kuongea na wananhi pamoja na wanachama waliohudhuria kwenye mkutano huo. (Picha zote na Jumbe Ismailly).

Na Jumbe Ismailly,Ikungi     

Hatimaye aliyewahi kuwa, Miss Tanzania 2006 na Msanii wa Bongo Movie,Wema Spetu ameanza safari maalum ya kuwania nafasi ya Ubunge kupitia chama cha Mapinduzi Mkoani Singida, ambapo ni chimbuko la Mama yake...

 

10 years ago

GPL

WEMA SEPETU ATANGAZA NIA, KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA

Wema Sepetu akiwa na mama yake mzazi mkoani Singida. STAA wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Singida. Wema tayari ametua mkoani Singida akiambatana na mama yake kwa ajili ya zoezi hilo ambapo amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wake. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Catherine Magige sasa kuwania ubunge viti maalum UWT mkoa wa Arusha

unnamed

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed (1)

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi katibu wa (UWT) mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea...

 

10 years ago

Michuzi

Mama Shamsa Selengia Mwangunga anagombea ubunge Viti Maalum Mkoa - Dodoma



 Mama Shamsa Selengia Mwangunga akirudisha fomu kugombea ubunge Viti Maalum Mkoa - Dodoma

 

10 years ago

Vijimambo

Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM


Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM
-Amepata kura 38 huku mpinzani wake akipata kura 34Tarime Mjini na Tarime Vijijini zoezi la kupiga kura limeahirishwaKumetokea vurugu kwenye mchakato wa kura za maoni CCM hapa Tarime, kwani zimekutwa karatasi za kupigia kura zaidi ya 25000 zikiwa zimeshatikiwa majina ya wagombea wawili MH GAUDENSIA KABAKA (TARIME MJINI) na NYAMBARI NYANGW'INE (TARIME VIJIJINI).Kutokana na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Msanii wa kizazi kipya

Neno moja huweza kubadilisha maisha ya mtu, hayo yamemkuta msanii wa muziki nchini Tanzania

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,MEZ B AFARIKI DUNIA LEO

Taarifa iliyotufikia mapema leo,inaeleza kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la ‘Chamber Squad’, Moses Bushagama ‘Mez B’, amefariki dunia leo asubuhi huko Mkoani Dodoma baada ya kusumbuliwa na Homa ya mapafu kwa muda mrefu. Taarifa ya kifo cha Mez B zimethibitishwa na mama yake mzazi, na kwamba alikuwa amelazwa kwenye Hospitali ya Mwananchi.
Mez B amewahi kulazwa na kuruhusiwa mara kadhaa katika hospitali ya Dodoma na hivi karibuni alizidiwa na kulazwa mkoani humo mpaka umauti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani