UBUNGE VITI MAALUM VIJANA BUKOBA;ANTU MANDOZA AJITOSA KUCHUKUA FOMU
Mgombea Ubunge Viti Maalum Vijana Bukoba Bi. Antu Mandoza(Kulia) akirejesha Fomu ya Kuomba Ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge wa Viti maalum Vijana Bukoba katika ofisi za umoja huo Mjini Bukoba, ahaidi kuinua Vijana Kiuchumi endapo atapata nafasi ya kuwa Mbunge wa Vijana.(Habari Picha na Faustine Ruta/bukobasports).
Mcheza kwao hutunzwa, Vijana wazidi kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za Uongozi. Binti Antu Mandoza mwenye kuonekana kuwa na umri miaka 22-25 Amerudisha Fomu za kuwania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Q_qqBGR9_Bo/VakOQXpulAI/AAAAAAAA1SY/Re2BAYrfuTg/s72-c/IMG-20150717-WA0075.jpg)
BI. CHIKULUPI NJELU KASAKA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUM,VIJANA -MBEYA ,ATOA VIPAUMBELE VYAKE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Q_qqBGR9_Bo/VakOQXpulAI/AAAAAAAA1SY/Re2BAYrfuTg/s640/IMG-20150717-WA0075.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ooYYMvteQ8c/VakOQzltMGI/AAAAAAAA1Sg/MlrrEiweriA/s640/IMG-20150717-WA0073.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-l9Atia7SIvw/VakOQ0yw_WI/AAAAAAAA1Sc/y5begc5uTR0/s640/IMG-20150717-WA0072.jpg)
MFAHAMU BI. CHIKULUPI NJELU KASAKA
*Anaitwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-t4Rf0wh2cuE/VaZ8iORxTOI/AAAAAAAAFuc/bM7lxun7IVE/s72-c/zahara_michuzi_viti_maalum_ccm_tabora%2B%25281%2529.jpg)
BINTI YETU AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU (VIJANA) MKOANI TABORA
![](http://1.bp.blogspot.com/-t4Rf0wh2cuE/VaZ8iORxTOI/AAAAAAAAFuc/bM7lxun7IVE/s640/zahara_michuzi_viti_maalum_ccm_tabora%2B%25281%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hffb8feDpjs/VaZ8bknsfYI/AAAAAAAAFuU/5lLd7AqIDpw/s640/zahara_michuzi_viti_maalum_ccm_tabora%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-RBdNdn5-tIY/VZ5S6hRUb1I/AAAAAAAAd4w/DUStgosScYs/s72-c/KEISHA.jpg)
MSANII WA KIZAZI KIPYA KEISHA AJITOSA KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM DODOMA,SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-RBdNdn5-tIY/VZ5S6hRUb1I/AAAAAAAAd4w/DUStgosScYs/s640/KEISHA.jpg)
Repost @kshertzbongoflava Habari za asubuhi ndugu zangu rafiki zangu mashabiki zangu na media zote nchini.najua wengi mnajiuliza maswali mengi sana juu yangu kwanini nimeamua kuingia kwenye siasa lakini leo naomba nifunguke na kuwaambia kitu.mimi kama mlemavu wa ngozi najikubali najipenda na ninajiamini lakini yote tisa napigana kwa uhuru na amani ambayo tunastahili kuipata kutoka nchini kwetu.nilipoanza kupost picha zangu za siasa kuna ambao walinipongeza na kuna ambao walinisema kwamba...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tNQsCTKeY3A/Val5jqGqygI/AAAAAAAAtVk/zjuYgTmElxc/s72-c/IMG_20150718_005234.jpg)
Vijana wazidi kuchukua fomu za Ubunge, sasa ni Dkt. Walter Nnko
![](http://3.bp.blogspot.com/-tNQsCTKeY3A/Val5jqGqygI/AAAAAAAAtVk/zjuYgTmElxc/s400/IMG_20150718_005234.jpg)
Dr. Walter Nnko amechukuwa fomu ya ubunge jimbo la kawe na muda ukifika atawaomba wanachama wa CCM wampe ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi utakaofanyika mwezi wa kumi...
10 years ago
VijimamboVIJANA CCM WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU ZA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI
10 years ago
Dewji Blog04 Aug
UVCCM Singida yamchagua msomi Fancy Nkuhi Ubunge Viti maalum kupitia vijana
Fancy Nkuhi ambaye ameshinda katika nafasi ya Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Viti maalum kupitia vijana katika Mkoa wa Singida.
KATIBU wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhan Kapeto akizungumza kwenye mkutano mkuu wa UVCCM wa uchaguzi wa nafasi ya mgombea Ubunge wa viti maalumu kupitia vijana jana mkutano huo ulimchagua Fancy Nkuhi kuwa mwakilishi wao kwa kupata kura 21 dhidi ya 8 za Jamila Kitila.
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Singida, Labia Lissu akizungumza kwenye mkutano huo, kulia n mchumi wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Bgv7PnLvuh8/VcFkLs-oitI/AAAAAAAD2dQ/YqUh3-qn4fM/s72-c/11800108_961164497280878_5219527663753180617_n.jpg)
Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM
![](http://2.bp.blogspot.com/-Bgv7PnLvuh8/VcFkLs-oitI/AAAAAAAD2dQ/YqUh3-qn4fM/s640/11800108_961164497280878_5219527663753180617_n.jpg)
Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM
-Amepata kura 38 huku mpinzani wake akipata kura 34Tarime Mjini na Tarime Vijijini zoezi la kupiga kura limeahirishwaKumetokea vurugu kwenye mchakato wa kura za maoni CCM hapa Tarime, kwani zimekutwa karatasi za kupigia kura zaidi ya 25000 zikiwa zimeshatikiwa majina ya wagombea wawili MH GAUDENSIA KABAKA (TARIME MJINI) na NYAMBARI NYANGW'INE (TARIME VIJIJINI).Kutokana na...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-kx4EqKeMKJ8/VYkQM_rWFNI/AAAAAAAAfys/_29z5uP5VM0/s72-c/1.png)
Urais 2015: Mwanamke wa 5 ajitosa kuchukua fomu CCM
![](http://4.bp.blogspot.com/-kx4EqKeMKJ8/VYkQM_rWFNI/AAAAAAAAfys/_29z5uP5VM0/s640/1.png)
Mwananmke mwingine ambaye ni kada wa CCM, Ritta Ngowi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kuwania urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu jana makao makuu ya CCM mkoani Dodoma Ngowi alisema akifanikiwa kuwa rais ataanzisha kituo kikubwa cha kuwahudumia wastaafu, walemavu, wasiojiweza na vijana.
Kingine atakachofanya ni kuendeleza mazuri yaliyofanywa na marais waliopita, lakini zaidi akiweka mkazo kwenye masuala ya elimu na kukuza...
5 years ago
CCM BlogMUSSA ABOUD JUMBE AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS ZANZIBAR