Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KESI YA MBUNGE WA IRINGA MJINI (CHADEMA) YAAHIRISHWA MPAKA APRIL 9

picha kwa hisani ya mitandao ya kijamii.
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mh.PETER MSIGWA  kwa mara nyingine amefikishwa leo  katika mahakama  kuu ya mkoa , kufuatia tuhuma inayomkabili ya kufanya vurugu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya nduli manispaa ya iringa.
Tukio hilo limetoke tarehe 6 ya mwezi wa pili ambapo  SALUM  KEITA mjumbe wa kampeni hizo kupitia  chama cha mapinduzi alidai kufanyiwa vurugu na mbunge wa jimbo la iringa mjini kwa kumpiga.
Kesi hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KESI YA PONDA YAAHIRISHWA MPAKA SEPTEMBA 22

Shehe Ponda akiwasalimu waumini ndani ya mahakama. …Akiwa  na askari magereza.…

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge wa Iringa Mjini kizimbani

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (48) jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa kwa mashitaka ya kujeruhi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Nduli.

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha iliyobamba: Enzi Mbunge wa Iringa Mjini akiuza Mitumba

Mpendwa msomaji ni matumaini yetu unaendelea kuperuzi  mtandao wako wa kijamii wa Mo dewji blog, siku zote tupo kwa ajili ya kukuletea habari na matukio mbalimbali kwa njia tofauti ambayo yatakuelimisha, kukuburudisha na  kukujenga.

Leo katika picha ya siku ama iliyobamba, ni ya Mbunge wa Iringa, mjini, Mh.Mchungaji Peter Msigwa.

Kwa mujibu wa chanzo cha picha hiyo iliyowekwa na Msigwa mwenyewe, k upitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook na kuipa maelezo haya “Enzi hizo nauza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jimbo la Iringa mjini lilikosa mbunge makini sasa ni zamu yangu ubunge -Mwakalebela

Mgombea ubunge jimbo la  Iringa mjini Frederick Mwakalebela  akiomba kura kwa  wananchi wa kata ya Mshindo jana wakati wa mkutano wake wa kampeni. Wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni jana. Aliyekuwa mgombea ubunge katika mchakato wa ndani ya chama Michael Mlowe  akimnadi Mwakalebela. Katibu  wa CCM Iringa mjini Bw Elisha Mwampashi  akimnadi  Mwakalebela.

Mwakalebela akiomba kura kwa wananchi wa kata ya Mshindo jana.

Wana CCM na wananchi wa kata ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Chadema mjini Iringa yazoa viti 14 vya Udiwani

IMG_4538

CHADEMA in Iringa Urban Constituency has raised from ashes by scooping 14 wards in this year general elections as compared to last general elections in 2010 when they got only one ward out of 18, the SIMBAYABLOG has discovered.

Chadema in 2010 general elections had only one ward but in this year general elections have managed to get 14 wards out of 18 total wards in the Iringa Municipality.

In the well-contested general elections 2015 CCM has managed to retrieve only four wards out of 18...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: RAIS MAGUFULI AMNUSURU KIFUNGO MBUNGE WA IRINGA MJINI PETER MSIGWA,AMLIPIA FAINI

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amemnusuru mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa Kuendelea kutumikia kifungo cha Miezi mitano   ama kulipa faini ya sh. Milioni 40 alichohukumiwa juzi Machi 10 2020 baada ya kulipa faini ya sh milioni 38 kati ya milioni 40.

Hatua hiyo imefikiwa leo Machi 12,2020  baada ya familia kwenda kuomba msaada kwa Rais Magufuli baada ya wao kuchangishana  na kufanikiwa kupata sh. Milioni mbili tu na kushindwa kutimiza fedha hizo...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZZZ:MBUNGE WA CHADEMA AKAMATWA NA JESHI LA POLISI IRINGA AKITUHUMIWA KUGAWA FEDHA KWA WANANCHI

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Bi.Jesca Msavatavangu akizungumza na wanahabari jioni ya leo mara baada ya tukio hilo la kukamatwa kwa Mbunge wa CHADEMA akigawa fedha kwa wanakijiji siku moja kabla ya uchaguzi kufanyika. Uchaguzi wa Jimbo hilo unatarajiwa kufanyika kesho siku ya jumapili, ambapo wananchi wameombwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura.  Ikiwa imebaki siku moja kabla ya uchaguzi Mdogo wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Manyara kupitia...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMNUSURU KIFUNGO MBUNGE WA IRINGA MJINI PETER MSIGWA,AMLIPIA SHILINGI MILIONI 38

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John ombe Magufuli amemnusuru mbunge wa Iringa Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Peter Msigwa Kutoendelea kutumikia kifungo cha Miezi mitano ama kulipa faini ya sh. Milioni 40 alichohukumiwa juzi Machi 10 2020 baada ya kumlipia faini ya sh milioni 38 kati ya milioni 40.

Hatua hiyo imefikiwa leo Machi 12,2020 baada ya familia kwenda kuomba msaada kwa Rais Magufuli kufuatia wao kuchangishana na kufanikiwa kupata sh. Milioni mbili tu na kushindwa kutimiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani