Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA
Mbunge wa Mpanda Mjini Mhe. Said Arfi
akizungumza na waandishi wa habari.
Picha ya maktaba.Akizungumza mjini Mpanda katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, jana Mhe Saidi Arfi aliwaeleza wananchi wa Mpanda kuwa uanachama wake ndani ya CHADEMA utakoma mara tu baada ya kuvunjwa Bunge Julai 9.Pia, alitumia mkutano huu kuwaaga wananchi wa jimbo hilo akisema hatagombea tena nafasi hiyo aliyoitumikia kwa miaka kumi. Mhe. Arfi alifafanua kuwa hayuko tayari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA ASALIMIANA NA ALIYEKUWA MBUNGE WA MPANDA KATI KWA CHAMA CHA CHADEMA MH.ARFI
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Mbunge ajivua uanachama Chadema
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Wasomi wataka CCM ijihoji Kingunge kujivua uanachama
10 years ago
Vijimambo14 Oct
BALOZI JUMA MWAPACHU KUJIVUA RASMI UANACHAMA CCM KESHO

Kesho ni siku muhimu katika kalenda ya Taifa letu. Tunamkumbuka marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetutoka miaka 16 iliyopita. Nadhani ni siku mwafaka kwangu kufanya maamuzi magumu katika maisha yangu ambayo yanahusu uanasiasa wangu. Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1967 wakati nilipojiunga na TANU Youth League. Nimepata fursa ya kuwa kiongozi ndani ya Chama hiki. Lakini kuanzia kesho mimi si mwanachama wa CCM tena. Natoa...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboWILFRED LWAKATARE (CHADEMA) ATANGAZWA KUWA MBUNGE WA BUKOBA MJINI
11 years ago
MichuziKESI YA MBUNGE WA IRINGA MJINI (CHADEMA) YAAHIRISHWA MPAKA APRIL 9
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mh.PETER MSIGWA kwa mara nyingine amefikishwa leo katika mahakama kuu ya mkoa , kufuatia tuhuma inayomkabili ya kufanya vurugu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya nduli manispaa ya iringa.
Tukio hilo limetoke tarehe 6 ya mwezi wa pili ambapo SALUM KEITA mjumbe wa kampeni hizo kupitia chama cha mapinduzi alidai kufanyiwa vurugu na mbunge wa jimbo la iringa mjini kwa kumpiga.
Kesi hiyo...
10 years ago
Habarileo21 Jul
Arfi wa Chadema aibukia CCM
MBUNGE wa jimbo la Mpanda Mjini kwa miongo miwili, Said Amour Alfi (Chadema) amejiunga rasmi na CCM. Amekuwa miongoni mwa makada 23 wa chama hicho, waliochukua na kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Arfi aitishia ‘nyau’ Chadema
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi, jana aliwaaga wapiga kura wake akiwaeleza kuwa uanachama wake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakoma mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 10 mjini Dodoma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Kashato mjini hapa jana, Arfi, aliyekiwakilisha chama hicho kwa miaka 10 mfululizo, aliwaambia wananchi kuwa jimbo hilo litakuwa wazi wakati wowote wiki ijayo.
“Kama Chadema wana ubavu, waje walikomboe jimbo...