Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge ajivua uanachama Chadema

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MWAPACHU AJIVUA UANACHAMA CCM

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza rasmi kujivua uanachama ndani ya CCM bila kusema anaelekea chama gani huku akidai kuwa, CCM imepoteza dira.

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA

Mbunge wa Mpanda Mjini Mhe. Said Arfi
akizungumza na waandishi wa habari.
Picha ya maktaba.Akizungumza mjini Mpanda katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, jana Mhe Saidi Arfi aliwaeleza wananchi wa Mpanda kuwa uanachama wake ndani ya CHADEMA utakoma mara tu baada ya kuvunjwa Bunge Julai 9.Pia, alitumia mkutano huu kuwaaga wananchi wa jimbo hilo akisema hatagombea tena nafasi hiyo aliyoitumikia kwa miaka kumi. Mhe. Arfi alifafanua kuwa hayuko tayari...

 

10 years ago

Vijimambo

ZITTO AVULIWA RASMI UANACHAMA CHADEMA

Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo atakuwa amejiondoa uanachama wake, kwahiyo natangaza rasmi rasmi Zitto Kabwe sio mwanachama tena wa CHADEMA. Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto baada ya mahakama kuu ya Tanzania kutupilia mbali shauri lake.
Katika maamuzi hayo ya Mahakama kuu ya Tanzania leo...

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE AVULIWA UANACHAMA CHADEMA

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mhe. Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe. "Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo...

 

11 years ago

GPL

DK KITILA, MWIGAMBA WAVULIWA UANACHAMA CHADEMA

Dk.Kitila Mkumbo aliyetimuliwa uanachama Chadema. Samson Mwigamba ambaye naye amevuliwa uanachama wa Chadema. KAMATI Kuu ya Chadema iliyokutana Januari 3-4, 2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden, jijini Dar es Salaam imeamua kuwavua uanachama Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kuanzia jana. Maamuzi hayo ni baada ya kunasa mawasiliano mbalimbali ya Zitto Kabwe na washirika wake akiwemo anayejulikana kwa… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama chadema

Tundu Lisu atangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Zitto Kabwe chadema

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa ajiunga rasmi na Ukawa, akabidhiwa kadi ya uanachama Chadema

Lowassa ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani