Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arfi aitishia ‘nyau’ Chadema

MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi, jana aliwaaga wapiga kura wake akiwaeleza kuwa uanachama wake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakoma mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 10 mjini Dodoma.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Kashato mjini hapa jana, Arfi, aliyekiwakilisha chama hicho kwa miaka 10 mfululizo, aliwaambia wananchi kuwa jimbo hilo litakuwa wazi wakati wowote wiki ijayo.

“Kama Chadema wana ubavu, waje walikomboe jimbo...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Niyonzima aitishia nyau Yanga

Kiungo Haruna Niyonzima ameipa Yanga siku nne kubadili uamuzi wa kumfukuza na baada ya hapo ataanika ukweli wa mgogoro wake na klabu hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Arfi wa Chadema aibukia CCM

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi, akizungumza na waandishi wa habari.MBUNGE wa jimbo la Mpanda Mjini kwa miongo miwili, Said Amour Alfi (Chadema) amejiunga rasmi na CCM. Amekuwa miongoni mwa makada 23 wa chama hicho, waliochukua na kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mpendazoe ataka kumrithi Arfi Chadema

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chadema, Fred Mpendazoe amejitokeza kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA kuwatosa Shibuda, Arfi, Leticia

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawafukuza wabunge wake, John Shibuda (Maswa Magharibi), Said Arfi (Mpanda Mjini) na Leticia Nyerere (Viti Maalum) baada ya kujiridhisha kwamba wameshiriki vikao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fred Mpendazoe kumrithi Arfi Umakamu Chadema Bar?

Mpendazoe 037[2]

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe.

Na Mwandishi wetu

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe amejitokeza kuwania nafasi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho.

Mpendazoe ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Kishapu kupitia CCM kabla ya kujiuzulu wadhifa huo na kujiunga na Chadema  ametangaza msimamo wake akisema kuwa atasimamia ajenda...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA

Mbunge wa Mpanda Mjini Mhe. Said Arfi
akizungumza na waandishi wa habari.
Picha ya maktaba.Akizungumza mjini Mpanda katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, jana Mhe Saidi Arfi aliwaeleza wananchi wa Mpanda kuwa uanachama wake ndani ya CHADEMA utakoma mara tu baada ya kuvunjwa Bunge Julai 9.Pia, alitumia mkutano huu kuwaaga wananchi wa jimbo hilo akisema hatagombea tena nafasi hiyo aliyoitumikia kwa miaka kumi. Mhe. Arfi alifafanua kuwa hayuko tayari...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA ASALIMIANA NA ALIYEKUWA MBUNGE WA MPANDA KATI KWA CHAMA CHA CHADEMA MH.ARFI

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na aliyekuwa Mbunge wa Mpanda  Kati  kwa tiketi ya CHADEMA, Said Arfi mjini Mpanda  Julai 21 2015. MheshiMiwa Pinda yuko  Katavi kwa mapumziko mafupi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Kiboko akiwa  amejeruhiwa vibaya baada ya  kushambuliwa na Simba na kukimbilia mtoni katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi Julai 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)Mamba wakiwa katika hifadhi ya Katavi Julai 21, 2015

 

11 years ago

GPL

KADINDA AMWITA LULU NYAU

Stori: Mwandishi Wetu MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau. Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda aki[pozi. Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa miaka 19. Paparazi wetu alipomhoji kuhusiana na kumuita nyau, Martin alifunguka:… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Kanuni zawatishia nyau wanahabari

Kanuni ya 77 ya Bunge la Katiba inaweza kutumiwa dhidi ya baadhi ya waandishi wa habari ambao waliandika habari za wajumbe kukosa posho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani