Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KADINDA AMWITA LULU NYAU

Stori: Mwandishi Wetu MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau. Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda aki[pozi. Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa miaka 19. Paparazi wetu alipomhoji kuhusiana na kumuita nyau, Martin alifunguka:… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LULU AFUNGUKA UKARIBU WAKE NA KADINDA

Stori: Mayasa Mariwata
MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada. Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Martin Kadinda. Akipiga stori na paparazi wetu, Lulu alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiinjoi maisha yao kwa kushauriana masuala mbalimbali ya...

 

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI AMWITA JIDE AMUOMBEE!

Imelda Mtema/Ijumaa
SIKU moja tu baada ya mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ kutupia kwenye mtandao wa Instagram, Jumanne iliyopita akisema baadhi ya watu wanamsakama kuhusu kutozaa bora auawe, mchungaji ameibuka na kumtaka staa huyo kufika kanisani kwake ili amwombee. Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’. Mchungaji Overcomer Daniel wa Kanisa la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola amwita Chiza ‘mzigo’

JINAMIZI la kuitwa ‘Waziri Mzigo’ lililokuwa likimuandama Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, limeibuka tena jana bungeni wakati wa mjadala wa hotuba ya bajeti ya wizara hiyo. Aliyeibua...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwigizaji Yusuph Mlela Ampiga Dongo Nora Amwita Kibibi

KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ kuwa baadhi ya waigizaji hawana sifa za kuwa wacheza sinema zaidi ya kuuza sura, msanii Yusuph Mlela amempa dongo zito akisema licha ya umri kuwa mkubwa, pia ana matatizo flani yanayomsumbua.“Nora naona siyo kosa lake kwani alishaugua yule, isitoshe ameshakuwa bibi hivyo nimemsamehe na sina tatizo naye kwani najua, lingekuwa jambo la maana kama angetufuata na kutushauri kama mkongwe lakini si kwa njia...

 

10 years ago

Mwananchi

Kanuni zawatishia nyau wanahabari

Kanuni ya 77 ya Bunge la Katiba inaweza kutumiwa dhidi ya baadhi ya waandishi wa habari ambao waliandika habari za wajumbe kukosa posho.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaitishia nyau TFF

Yanga imetingisha kiberiti kwa kujaribu kuwazuia wachezaji wake waliochaguliwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’.

 

9 years ago

Mwananchi

Niyonzima aitishia nyau Yanga

Kiungo Haruna Niyonzima ameipa Yanga siku nne kubadili uamuzi wa kumfukuza na baada ya hapo ataanika ukweli wa mgogoro wake na klabu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yaitishia nyau Simba

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga jana waliendelea kutoa dozi katika ligi hiyo baada ya kuwafunga maafande wa JKT Ruvu kwa mabao 4-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Arfi aitishia ‘nyau’ Chadema

MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi, jana aliwaaga wapiga kura wake akiwaeleza kuwa uanachama wake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakoma mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 10 mjini Dodoma.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Kashato mjini hapa jana, Arfi, aliyekiwakilisha chama hicho kwa miaka 10 mfululizo, aliwaambia wananchi kuwa jimbo hilo litakuwa wazi wakati wowote wiki ijayo.

“Kama Chadema wana ubavu, waje walikomboe jimbo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani