Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bahati Bukuku apata ajali mkoani Dodoma

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku (40) amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongwa na gari aina ya Fuso wilayani Kongwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MUIMBAJI WA INJILI BAHATI BUKUKU APATA AJALI DODOMA AKIELEKEA KAHAMA KWENYE TAMASHA
















Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bahati Bukuku akiwa kwenye moja ya kazi zake ya uimbaji.
Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP...

 

11 years ago

GPL

BAHATI BUKUKU APATA AJALI

Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku. Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku amepata ajali ya gari akiwa na dereva wake, Eddy maeneo ya Kongwa Dodoma usiku wa kuamkia leo. Akiongea kwa simu Bahati amesema: “Ni Mungu tu aliyetuokoa, tulikuwa tunaelekea Kahama kwenye huduma ghafla tukagongana uso kwa uso na lori, gari yetu aina ya Toyota Nadia  iliruka na kubiringika kama mara tatu hivi, tumetoka tukiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bahati Bukuku apata ajali ya gari

MWIMBAJI maarufu wa muziki wa Injili nchini, Bahati Bukuku, amepata ajali ya gari akiwa njiani kuelekea Kahama katika tamasha la muziki wa Injili. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa...

 

11 years ago

CloudsFM

JESHI LA POLISI LATOA TAARIFA KUHUSU AJALI MWIMBAJI NYIMBO ZA INJILI, BAHATI BUKUKU

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma David Misime - SACP Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imetokea tarehe...

 

11 years ago

Michuzi

ALEX MSAMA APATA AJALI WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA,HALI YAKE YAENDELEA VIZURI

Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Mwenyekiti wa Bongo Movie(Steve Nyerere) na Single Mtambalike wakiwa pembeni ya Mkurugenzi wa Msama Promotions Limited Bw Alex Msama kwa ajili ya kumpa pole na kumfariji mara baada ya kupata ajali wakati akitokea Dar Es Salaam kuja Dodoma, ajali iliyotokea Ipagala Mwisho Kilometa chache tu kufika Dodoma Mjini.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Bw Alex Msama amepata ajali leo, eneo la Ipagala mwisho wakati...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-7

AKUTANA NA MICHEZO YA ‘KUPIGISHWA SIMU CHOONI’ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: MANENO yake yalinifariji mno, nikajikuta nikimkumbatia, hata baba aliporudi nilimwambia kwamba matokeo hayakuwa mazuri, hakunichapa wala kunigombeza, bali alinitia nguvu kwa kuniambia kwamba maisha yanaendelea hivyo nilitakiwa kujipa nguvu kwa kuona huo haukuwa mwisho wa maisha yangu, safari ilikuwa ikianza upya.
ENDELEA… Hakukuwa na...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-13

ILIPOISHIA: WIKI iliyopita iliishia pale alipokuwa akijiandaa kufunda ndoa baada ya kuvalishwa pete ya uchumba kanisani huku kila siku alizokuwa akionana na Daniel, ilikuwa ni lazima awe na ndugu zake kwa kuwa naye shetani alikuwa kazini. ENDELEA.. Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Bukuku. Kila kitu kilikuwa kimekamilika, ndoa tu ndiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa. Katika muda wote huo nilikuwa nikionana na...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-11

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
KILA siku nilikuwa mtu wa kupiga goti ili kama ikitokea nikipata mume, basi awe yule aliyetoka kwa bwana. Pamoja na hayo yote, bado huduma yangu ya kumuimbia Mungu ilikuwa ikiendelea, taratibu nikaanza kupata jina makanisani.
SASA ENDELEA... Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo,Bahati Bukuku. MIALIKO yamiminika!
Japokuwa sauti yangu ilikuwa nzito lakini bado ilipendwa sana. Jina langu liliendelea...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-12

ILIPOISHIA:
Iliishia pale Bahati alipokuwa na kiu ya kuolewa, alipiga goti na kumuomba Mungu kwamba endapo atampa mume, basi awe mume aliyetoka kwake (Mungu). ENDELEA... Mwimbaji wa nyimbo za injili Bongo, Bahati Bukuku. Ikumbukwe kwamba siku nimezaliwa katika familia inayomjua Mungu, nimelelewa katika wokovu kwa kipindi chote cha maisha yangu, kwa hiyo hata kwenye suala zima la kuolewa nililiacha mikononi mwa Mungu. Siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani