Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bahati Bukuku apata ajali ya gari

MWIMBAJI maarufu wa muziki wa Injili nchini, Bahati Bukuku, amepata ajali ya gari akiwa njiani kuelekea Kahama katika tamasha la muziki wa Injili. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BAHATI BUKUKU APATA AJALI

Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku. Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku amepata ajali ya gari akiwa na dereva wake, Eddy maeneo ya Kongwa Dodoma usiku wa kuamkia leo. Akiongea kwa simu Bahati amesema: “Ni Mungu tu aliyetuokoa, tulikuwa tunaelekea Kahama kwenye huduma ghafla tukagongana uso kwa uso na lori, gari yetu aina ya Toyota Nadia  iliruka na kubiringika kama mara tatu hivi, tumetoka tukiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Bahati Bukuku apata ajali mkoani Dodoma

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku (40) amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongwa na gari aina ya Fuso wilayani Kongwa.

 

11 years ago

Michuzi

MUIMBAJI WA INJILI BAHATI BUKUKU APATA AJALI DODOMA AKIELEKEA KAHAMA KWENYE TAMASHA
















Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bahati Bukuku akiwa kwenye moja ya kazi zake ya uimbaji.
Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP...

 

11 years ago

CloudsFM

JESHI LA POLISI LATOA TAARIFA KUHUSU AJALI MWIMBAJI NYIMBO ZA INJILI, BAHATI BUKUKU

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma David Misime - SACP Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imetokea tarehe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage apata ajali ya gari

MWENYEKITI wa Simba aliyemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, jana amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya agari eneo Chigongwe, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akiingia mjini humo...

 

11 years ago

GPL

SALUM MKAMBALA WA CHANNEL TEN APATA AJALI YA GARI

Mtangazaji wa Channel Ten, Salum Mkambala (pichani) amepata ajali ya gari ambalo alikuwa akiendesha kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten ambaye ameidokeza Global Publishers.info, Mkambala alipata ajali hiyo maeneo ya Chalinze alfajiri ya leo na hali yake inaelezwa kuwa ni mahututi baada ya kuumia vibaya. Haijafahamika yuko hospitali gani kwani alikuwa peke yake kwenye gari na...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-6

WOKOVU WAWASHANGAZA WALIMU, WANAFUNZI Sala ya toba ilipomalizika, tukaruhusiwa kwenda kukaa huku nikiendelea kulia, mama ndiye akawa mfariji wangu pekee. Kuanzia siku hiyo, vurugu zote nikaacha, nikawa mtoto mwema na wala sikuwa mtu wa kuwapiga wenzangu kama nilivyokuwa. Kila mtu alinishangaa, hawakuamini kama Bahati nilibadilika. ENDELEA NAYO... Mwinjilishaji kwa njia ya wimbo, Bahati Bukuku akipozi. Maisha yangu ya wokovu...

 

11 years ago

GPL

BAHATI BUKUKU NUSU KIFO!

Stori: Oscar Ndauka NI kweli ajali haina kinga! Nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Lusako Bukuku ameumia mgongo na maeneo kadhaa ya mwili (nusu kifo) kiasi cha kushindwa kukaa, kusimama wala kutembea kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea kwenye eneo la Ranchi ya Narco wilayani Kongwa, Dodoma saa tisa usiku wa kuamkia Jumamosi, Ijumaa Wikienda lina undani wa mkasa mzima. Nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Lusako...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU-9

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA
“Mungu, kwa nini hii inatokea kwangu? Kwa nini umeniacha niaibike? Kwa nini umeiacha aibu hii usoni mwangu?” nilimuuliza Mungu. Siku hiyo, nililia mno, sikujua kama katika yote aliyokuwa ameyafanya, yalikuwa ni njia moja ya kuniinua na kuniweka hapa nilipo sasa shuka nayo zaidi..... Mwimbaji mahili wa nyimbo za injili Bongo,Bahati Bukuku. AKATA TAMAA YA KUSOMA
Kama kulikuwa na watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani